Taifa letu limekosa upinzani halisi. WanaCCM wawe wapinzani wa kweli na kumkosoa rais Samia anapokosea

Taifa letu limekosa upinzani halisi. WanaCCM wawe wapinzani wa kweli na kumkosoa rais Samia anapokosea

Hayati Julius Nyerere alipotabiri kuwa upinzani wa kweli utatokea ndani ya CCM alitatabiri vyema kabisa maana mpaka sasa hakuna upinzani dhidi ya CCM pamoja na multiparty system kuanzishwa hapa nchini.

Leo hii wapinzani waliopo wapo kwa ajiri ya kujaza matumbo na kulamba asali huku raia wanaoteseka wakikosa watu wa kuwasemea shida na kero zao.

Ona wakilamba asali


View attachment 2596797
Ni wana CCM watakao kuwa na msimamo kama lilivyokuwa kundi la G55 miaka ya tisini. Wanatakiwa kukosoa na kusimamia maslahi ya taifa letu.
Bunge si mmelitengeneza wenyewe

Shida nini sasa mkuu

Ova
 
Aisee we ni asset ya Taifa!
Kwa nguvu ya ccm leo, uchu wa madaraka, na hofu ya kuwajibishwa, nakiri kwa kinywa kuwa CCM haitiachii serkali leo wala karibuni mpaka hapo itakapopasuka kutokea ndani!
Mabadiliko pekee tunaweza kupata ni uundwaji serkali ya umoja wa kitaifa ya kuzugia kama Zanzibar.
Hiki ndicho Mama anachokwenda kukifanya 2025!.
p
 
Back
Top Bottom