SOVIET UNION
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 509
- 1,391
Mkuu waaambie hawa Mapimbi, yaani wanataka wapiganiwe wakiwa walo wamelalakwamba upinzani ukupiganie wewe mpumbavu unayeambiwa uandamane kupinga wizi wa kura umekalisha masaburi yako kwenye korido za mashoga yanayofugwa ccm huku ukisema lissu na mbowe waandamane na watoto wao, wewe kama unaona hakuna upinzani anzisha upinzani wako na mamako nyumbani kwenu wapuuz nyinyi.
Yaani umenena vyema kabisa. Tatizo ni hawa wananchi wanafiki, ndumilakuwili na wavizia fursa za madaraka hata kama ni kwa kumpamba shetani.Tatizo kubwa la hii nchi ni wananchi wala si upinzani wala ccm.
Wananchi ni wajinga, waoga na wamejidharaulisha kiasi kwamba ukiwadhulumu hawana cha kukufanya.
Na ukijitokeza kuwatetea dhidi ya dhuluma wanazotendewa hakakupi sapoti... Zaidi wataungana na mdhulumaji!
Bahati mbaya ni kwamba wanasiasa washaelewa hizo codes!
Chadema walisha pambana mno nakumbuka hata Kule Arusha, mtu anaye ona hakuna Upinzani aingie front, make katiba inaruhusuWewe huna hoja, upinzani gani unaowalaumu? CUF? TLP? ACT? Chadema?
Km chadema Mimi siwalaumu, kazi Yao walishaifanya,
Watanzania tuache unafki, unataka chadema wafanye Nini? Wamehangaika Sana Hadi Leo wapo waliouwawa, vilema, walifirisiwa, waliopojela n.k,wewe binafsi uliwaunga mkono kwa kipi?
Mara ngapi wanatangaza maandamano?
Huu unafki ndo unaolitafuna taifa, Ni upuuzi kukaa ndani ukitegemea watu fulani wafe, wapoteze Mali zao, wapoteze ndugu zao, wawe vilema
Kama hivyo ulivyosema ndio mtazamo wa Upinzani basi hawana haja ya kuendelea kufanya siasa cos siasa haijawahi kuwa rahisi siku zoteNyie Si ndo mlikuwa mnafurahia JPM alivyokuwa anawashughulia akina mbowe?
Sasa mmekatwa mikia mnamkuukumbuka upinzani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo tumekupata. Kwa kweli mwenzetu huyu Mayala, anastahili kutujibu, ni ndege au mnyama? Maana si moto si baridi, haeleweki!Mara huyu anatufaa mara hatufahi mara yegeyege.... Jamani popo ni ndege au mnyama?
2030 Wajinga wote watakuwa wamemizika!! Nyundo nzito naipigia mstariMkuu Idugunde , kwanza naunga mkono hoja, na pili kwa idhini yako, naomba kulitumia bandiko lako kama mbegu ya kuoteshea bandiko langu fulani.
Hii hali ya Tanzania kukosa upinzani imara wa kuweza kuiondoa CCM ndio sababu ya CCM kujirekebisha Kia uchao na kuendelea kutawala probably milele!.
P
- Mwana JF huyu aliposema hivi, mimi nilimbishia Je, CCM Itatawala Milele Au? lakini maisha wa siku nilikuja kukubali matokeo kuwa ni kweli Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
- Kwa Tazania upinzani ni Chadema hivyo toka ile 2010 tumekuwa tukiwaeleza humu CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga! lakini hawasikii.
- Uchaguzi wa 2015 tukawakumbusha tena Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ... lakini wapi!.
- Tukauliza humu Elections 2015 - CHADEMA ikipewa Nchi, Oktoba 2015, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala wa Kidikteta? Nauliza Tuu!
- Hivyo ile 2015 alipoingia mwamba, ni mabeberu ndio walianza kutueleza The Economist: Rais Magufuli ametangaza kufuta Upinzani ifikapo 2020 na kuirudisha Tanzania kuwa Nchi ya chama Kimoja
- Hivyo sisi waalimu huru tukaingia kazini kwa kujitolea kufundisha upinzani. Japo kazi ya upinzani ni kupinga, lakini sio kupinga kila kitu. Kwenye maslahi ya taifa, tutangulize utaifa, tuwe wamoja, wakweli na tusipotoshe
- Tukauzungumzia Upinzani wa Tanzania ni Upinzani Makini wa Kweli, au ni Upinzani Uchwala?. Kasi ya JPM Itaua Upinzani Uchwala na Kuibua Upinzani Makini wa Kweli Au..?
- Tukauliza Uchaguzi 2020 - Je, Tanzania tuna upinzani makini, upinzani wa kweli wa kuing'oa CCM madarakani au bado sana? Nilichoshuhudia leo uzinduzi CHADEMA, kiukweli...
- Tukaizungumzia kai ya mwamba Je, Kasi ya Magufuli itaua Upinzani Uchwara na Kuimarisha Upinzani Makini? - Prof. Kitila Mkumbo
- Tukakizungumzia chama kikuu cha upinzani Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?
- Tukayazungumzia baadhi ya mapungufu ya Chadema Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?
- Tukaizungumzia ACT Wazalendo as an alternative party kwa opposition Kiukweli, Kama Sio Nguvu ya Soda, Then ACT ni Tishio. Hawa ni The Underdogs, Huwezi Kuwapuuza
- Tukamuuliza Zitto Zitto Kabwe na wapinzani wote, kwanini mnapiga tu kelele kuhusu udikteta bila kuchukua hatua zozote? Isn't it a nuisance? Je, 2020 ni CCM pekee?
- Na baada ya Mungu kukifanya alichokifanya, sasa kuelekea uchaguzi wa 2025 Mama ameisha pindua meza, 2025 ni CCM tena, sisi waalimu washauri wa bure tumeisha shauri Kama Upinzani unataka mafaniko ya kweli iachane na 2025 lengo liwe 2030
- Na kwa Political projections zangu, Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!
Mwehu mwingine huyu hapa.Magufuli aliona mapema hakuna wapinzani wenye nia na maslahi ya wananchi wote ni wachumia tumbo ndio akaanza kuwashughulikia
Si mpo wenyewe bungeni sasa unalialia nn? Unataka hao wapinzani wakakosoe kaburini chato? Wambie hao wana ccm wasio lamba hiyo asali wakosoeHayati Julius Nyerere alipotabiri kuwa upinzani wa kweli utatokea ndani ya CCM alitatabiri vyema kabisa maana mpaka sasa hakuna upinzani dhidi ya CCM pamoja na multiparty system kuanzishwa hapa nchini.
Leo hii wapinzani waliopo wapo kwa ajiri ya kujaza matumbo na kulamba asali huku raia wanaoteseka wakikosa watu wa kuwasemea shida na kero zao.
Ona wakilamba asali
View attachment 2596797
Ni wana CCM watakao kuwa na msimamo kama lilivyokuwa kundi la G55 miaka ya tisini. Wanatakiwa kukosoa na kusimamia maslahi ya taifa letu.
Yeye anakumbuka upinlzani leo kwa sababu raisi ni samial mpumbavu mmoja huyuWewe huna hoja, upinzani gani unaowalaumu? CUF? TLP? ACT? Chadema?
Km chadema Mimi siwalaumu, kazi Yao walishaifanya,
Watanzania tuache unafki, unataka chadema wafanye Nini? Wamehangaika Sana Hadi Leo wapo waliouwawa, vilema, walifirisiwa, waliopojela n.k,wewe binafsi uliwaunga mkono kwa kipi?
Mara ngapi wanatangaza maandamano?
Huu unafki ndo unaolitafuna taifa, Ni upuuzi kukaa ndani ukitegemea watu fulani wafe, wapoteze Mali zao, wapoteze ndugu zao, wawe vilema
Hayati Julius Nyerere alipotabiri kuwa upinzani wa kweli utatokea ndani ya CCM alitatabiri vyema kabisa maana mpaka sasa hakuna upinzani dhidi ya CCM pamoja na multiparty system kuanzishwa hapa nchini.
Leo hii wapinzani waliopo wapo kwa ajiri ya kujaza matumbo na kulamba asali huku raia wanaoteseka wakikosa watu wa kuwasemea shida na kero zao.
Ona wakilamba asali
View attachment 2596797
Ni wana CCM watakao kuwa na msimamo kama lilivyokuwa kundi la G55 miaka ya tisini. Wanatakiwa kukosoa na kusimamia maslahi ya taifa letu.
Mkuu Idugunde , kwanza naunga mkono hoja, na pili kwa idhini yako, naomba kulitumia bandiko lako kama mbegu ya kuoteshea bandiko langu fulani.
Hii hali ya Tanzania kukosa upinzani imara wa kuweza kuiondoa CCM ndio sababu ya CCM kujirekebisha Kia uchao na kuendelea kutawala probably milele!.
P
- Mwana JF huyu aliposema hivi, mimi nilimbishia Je, CCM Itatawala Milele Au? lakini maisha wa siku nilikuja kukubali matokeo kuwa ni kweli Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
- Kwa Tazania upinzani ni Chadema hivyo toka ile 2010 tumekuwa tukiwaeleza humu CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga! lakini hawasikii.
- Uchaguzi wa 2015 tukawakumbusha tena Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ... lakini wapi!.
- Tukauliza humu Elections 2015 - CHADEMA ikipewa Nchi, Oktoba 2015, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala wa Kidikteta? Nauliza Tuu!
- Hivyo ile 2015 alipoingia mwamba, ni mabeberu ndio walianza kutueleza The Economist: Rais Magufuli ametangaza kufuta Upinzani ifikapo 2020 na kuirudisha Tanzania kuwa Nchi ya chama Kimoja
- Hivyo sisi waalimu huru tukaingia kazini kwa kujitolea kufundisha upinzani. Japo kazi ya upinzani ni kupinga, lakini sio kupinga kila kitu. Kwenye maslahi ya taifa, tutangulize utaifa, tuwe wamoja, wakweli na tusipotoshe
- Tukauzungumzia Upinzani wa Tanzania ni Upinzani Makini wa Kweli, au ni Upinzani Uchwala?. Kasi ya JPM Itaua Upinzani Uchwala na Kuibua Upinzani Makini wa Kweli Au..?
- Tukauliza Uchaguzi 2020 - Je, Tanzania tuna upinzani makini, upinzani wa kweli wa kuing'oa CCM madarakani au bado sana? Nilichoshuhudia leo uzinduzi CHADEMA, kiukweli...
- Tukaizungumzia kai ya mwamba Je, Kasi ya Magufuli itaua Upinzani Uchwara na Kuimarisha Upinzani Makini? - Prof. Kitila Mkumbo
- Tukakizungumzia chama kikuu cha upinzani Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?
- Tukayazungumzia baadhi ya mapungufu ya Chadema Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?
- Tukaizungumzia ACT Wazalendo as an alternative party kwa opposition Kiukweli, Kama Sio Nguvu ya Soda, Then ACT ni Tishio. Hawa ni The Underdogs, Huwezi Kuwapuuza
- Tukamuuliza Zitto Zitto Kabwe na wapinzani wote, kwanini mnapiga tu kelele kuhusu udikteta bila kuchukua hatua zozote? Isn't it a nuisance? Je, 2020 ni CCM pekee?
- Na baada ya Mungu kukifanya alichokifanya, sasa kuelekea uchaguzi wa 2025 Mama ameisha pindua meza, 2025 ni CCM tena, sisi waalimu washauri wa bure tumeisha shauri Kama Upinzani unataka mafaniko ya kweli iachane na 2025 lengo liwe 2030
- Na kwa Political projections zangu, Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!
Mkuu Idugunde , kwanza naunga mkono hoja, na pili kwa idhini yako, naomba kulitumia bandiko lako kama mbegu ya kuoteshea bandiko langu fulani.
Hii hali ya Tanzania kukosa upinzani imara wa kuweza kuiondoa CCM ndio sababu ya CCM kujirekebisha Kia uchao na kuendelea kutawala probably milele!.
P
- Mwana JF huyu aliposema hivi, mimi nilimbishia Je, CCM Itatawala Milele Au? lakini maisha wa siku nilikuja kukubali matokeo kuwa ni kweli Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
- Kwa Tazania upinzani ni Chadema hivyo toka ile 2010 tumekuwa tukiwaeleza humu CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga! lakini hawasikii.
- Uchaguzi wa 2015 tukawakumbusha tena Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ... lakini wapi!.
- Tukauliza humu Elections 2015 - CHADEMA ikipewa Nchi, Oktoba 2015, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala wa Kidikteta? Nauliza Tuu!
- Hivyo ile 2015 alipoingia mwamba, ni mabeberu ndio walianza kutueleza The Economist: Rais Magufuli ametangaza kufuta Upinzani ifikapo 2020 na kuirudisha Tanzania kuwa Nchi ya chama Kimoja
- Hivyo sisi waalimu huru tukaingia kazini kwa kujitolea kufundisha upinzani. Japo kazi ya upinzani ni kupinga, lakini sio kupinga kila kitu. Kwenye maslahi ya taifa, tutangulize utaifa, tuwe wamoja, wakweli na tusipotoshe
- Tukauzungumzia Upinzani wa Tanzania ni Upinzani Makini wa Kweli, au ni Upinzani Uchwala?. Kasi ya JPM Itaua Upinzani Uchwala na Kuibua Upinzani Makini wa Kweli Au..?
- Tukauliza Uchaguzi 2020 - Je, Tanzania tuna upinzani makini, upinzani wa kweli wa kuing'oa CCM madarakani au bado sana? Nilichoshuhudia leo uzinduzi CHADEMA, kiukweli...
- Tukaizungumzia kai ya mwamba Je, Kasi ya Magufuli itaua Upinzani Uchwara na Kuimarisha Upinzani Makini? - Prof. Kitila Mkumbo
- Tukakizungumzia chama kikuu cha upinzani Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?
- Tukayazungumzia baadhi ya mapungufu ya Chadema Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?
- Tukaizungumzia ACT Wazalendo as an alternative party kwa opposition Kiukweli, Kama Sio Nguvu ya Soda, Then ACT ni Tishio. Hawa ni The Underdogs, Huwezi Kuwapuuza
- Tukamuuliza Zitto Zitto Kabwe na wapinzani wote, kwanini mnapiga tu kelele kuhusu udikteta bila kuchukua hatua zozote? Isn't it a nuisance? Je, 2020 ni CCM pekee?
- Na baada ya Mungu kukifanya alichokifanya, sasa kuelekea uchaguzi wa 2025 Mama ameisha pindua meza, 2025 ni CCM tena, sisi waalimu washauri wa bure tumeisha shauri Kama Upinzani unataka mafaniko ya kweli iachane na 2025 lengo liwe 2030
- Na kwa Political projections zangu, Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!
Hapo tumekupata. Kwa kweli mwenzetu huyu Mayala, anastahili kutujibu, ni ndege au mnyama? Maana si moto si baridi, haeleweki!
Sisi tuliomo humu ni sampuli ndogo ya waliopo nje ya JF. Unaweza kuelewa jamii yetu ilivyo kigeugeu.
Links ni rejea tuu ya tulisema nini na nini kikatokea ili tusiseme tena na tena kwa nini CCM inaendelea kutawala milele!.Pamoja na maelezo yako marefu na link kibao za post za mwaka 47,
Wewe umeita Maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi, mimi ninetumia jina la igizo la uchaguzi Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?ukweli ni kuwa Tanzania hakuna uchaguzi bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Kwa maoni yangu, 2020 hakutakuwa na uchaguzi wa rais 2020, kutakuwa tuu na igizo la uchaguzi, na kwenye ubunge na udiwani , kwa udikiteta huu, sijui kama kuna mpinzani atatoka!, uchaguzi wa 2020 itakuwa ni uchaguzi wa CCM only and only CCM!. Uchaguzi mwingine wa rais na uchaguzi wa vyama vingi ni uchaguzi wa 2025 only if ...(Mungu hatafanya yake hapa katikati)
Paskali
Sio lazima kutokea machafuko, Mama anabadili katiba, sheria na kuleta Tume huru ya uchaguzi , hivyo uchaguzi 2025 utakuwa uchaguzi huru na wa haki.Ili Tanzania iweze kuwa na uchaguzi wa kweli ni lazima kutokee machafuko ili ufanyike uchunguzi wa kweli,
Jeshi letu ni Jeshi la Wananchi Wazalendo sio jeshi la mamluki.ama jeshi letu lifanye kinachofanywa na jeshi la Sudan kwa sasa.
Nakubaliana na wewe CCM itatawala milele.Kinyume na hapo unachosema sio utabiri, bali kwa katiba hii CCM itaendelea kukaa madarakani, na sio lazima iwe kwa ridhaa ya wananchi.
Nashauri tujikite kwenye mada iliyopo mezani.Huyo Paskali baada ya kumfuatilia nimegundua ni yule mtu mwenye ndimi mbili, na huwa namwambia mara kibao humu jukwaani. Huyu Paskali na wale watu wanaojifanya watabiri na kusema kila kitu, kisha ikitokea moja ya aliyosema anasema alishatabiri siku nyingi.
Hawa ni sawa na yule mtu anayesema mwaka huu kutakuwa na mvua nyingi, halafu baadae kidogo anasema kutakuwa na kiangazi kikali. Ikitokea moja kati ya hayo anasema alishatabiri!
Ukipitia mabandiko yake huku jukwaani utakuta ametabiri vyama vyote vitakufa, vitadhoofu, vitafanya mabadiliko nk, sasa inapotokea moja kati ya hilo unaona anaweka hiyo link!
Hii mada inahusiana vipi na uchaguzi? Wewe kushindwa uchaguzi wa 2020 ndio iwe kelele kila siku? Hapa tunahitaji wapinzani wataokosoa makosa kama kioo cha jamiiPamoja na maelezo yako marefu na link kibao za post za mwaka 47, ukweli ni kuwa Tanzania hakuna uchaguzi bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Ili Tanzania iweze kuwa na uchaguzi wa kweli ni lazima kutokee machafuko ili ufanyike uchunguzi wa kweli, ama jeshi letu lifanye kinachofanywa na jeshi la Sudan kwa sasa. Kinyume na hapo unachosema sio utabiri, bali kwa katiba hii CCM itaendelea kukaa madarakani, na sio lazima iwe kwa ridhaa ya wananchi.
None sense and stupiditykwamba upinzani ukupiganie wewe mpumbavu unayeambiwa uandamane kupinga wizi wa kura umekalisha masaburi yako kwenye korido za mashoga yanayofugwa ccm huku ukisema lissu na mbowe waandamane na watoto wao, wewe kama unaona hakuna upinzani anzisha upinzani wako na mamako nyumbani kwenu wapuuz nyinyi.
Hebu mwulize huyo mwehu mwenzio Idugunde hamtaki tena upinzani kuunga juhudi?! Mbona enzi za JPM mliwanunua Kwa gharama kubwa na kuutangazia Umma kuwa ni kuunga juhudi ya Jiwe?!Umechelewa sana kujua but kwa ufupi hii nchi haina upinzani wote unaona wanapga kelele ni vibaraka wa CCM