data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
Naanza na swali, Je ! Hivi ni sahihi!?
Radioni, TV , Simu, Michezoni, Mpira(kubeti) ni kamari tupuu. Hivi ni sawa!!? Na je hii michezo haramu haina age restriction!?
Hivi ni nini kinaendelea nchini. Yani hapa nimewasha Radio huyu mtangazaji anavyohimiza watu wacheze hiyo buku ni hatari, yani hadi mishipa inamtoka.
Nakumbuka hayati Magufuli alizuia hizi kamari baada ya kuombwa na viongozi wa dini, ikawa banned kufanyika hadharani namna hii. Hivi sasa yoote imerudi .
Watu wanaibiwa tu. Hivi kwanini isifanyike kimyakimya. M mwenye shida aitafute huko kimyakimya.
Taifa linakuwaje la kiharamiaharamia namna hii na mamlaka husika za kulisimamia hili ni zipi!?? Au ndo tozo!?
Embu tulitafakari hili!?