Taifa limekuwa la kamari. Kila kona kila mahali kamari. Watu wanaibiwa pesa zao

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
26,858
Reaction score
23,768
Naanza na swali, Je ! Hivi ni sahihi!?

Radioni, TV , Simu, Michezoni, Mpira(kubeti) ni kamari tupuu. Hivi ni sawa!!? Na je hii michezo haramu haina age restriction!?

Hivi ni nini kinaendelea nchini. Yani hapa nimewasha Radio huyu mtangazaji anavyohimiza watu wacheze hiyo buku ni hatari, yani hadi mishipa inamtoka.

Nakumbuka hayati Magufuli alizuia hizi kamari baada ya kuombwa na viongozi wa dini, ikawa banned kufanyika hadharani namna hii. Hivi sasa yoote imerudi .

Watu wanaibiwa tu. Hivi kwanini isifanyike kimyakimya. M mwenye shida aitafute huko kimyakimya.

Taifa linakuwaje la kiharamiaharamia namna hii na mamlaka husika za kulisimamia hili ni zipi!?? Au ndo tozo!?

Embu tulitafakari hili!?
 
"Nakumbuka hayati Magufuli alizuia hizi kamari baada ya kuombwa na viongozi wa dini, ikawa banned kufanyika hadharani namna hii. Hivi sasa yoote imerudi ."

Wafuasi wa huyu jamaa sijui nilini mtaacha kutudanganya
 
mfumo mbovu wa elimu , ukosefu wa mitaji, ukosefu wa ajira , kuongezeka idadi ya watu wajinga kwa kasi, utandawazi , kukatika umeme na umaskini huzalisha akili ya kutafuta short cut za kupata pesa za kuishi
 
Naanza na swali, Je ! Hivi ni sahihi!?

Radioni, TV , Simu , Michezoni, Mpira(kubeti) ni kamari tupuu. Hivi ni sawa!!? Na je hii michezo haramu haina age restriction!?

Watamlaumu Rais Samia kama kawaida yao.
 
Lakn wanalipa.kodi kwa taifa

Je kuna sheria ya nch inavunjwa?

Ukiona Jambo hulielew ujue halipo kwa ajir yako wewe mkuu unaachana navyo

Bas serikal ifute kamari iongeze Kodi kwenye mafuta kufidia ya kamari

Binafs sisikiliz hzo radio za matangazo hayo

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Naanza na swali, Je ! Hivi ni sahihi!?

Radioni, TV , Simu , Michezoni, Mpira(kubeti) ni kamari tupuu. Hivi ni sawa!!? Na je hii michezo haramu haina age restriction!?

Hivi ni nini kinaendelea nchini. Yani hapa nimewasha Radio huyu mtangazaji anavyohimiza watu wacheze hiyo buku ni hatari, yani hadi mishipa inamtoka.

Nakumbuka hayati Magufuli alizuia hizi kamari baada ya kuombwa na viongozi wa dini, ikawa banned kufanyika hadharani namna hii. Hivi sasa yoote imerudi .

Watu wanaibiwa tu. Hivi kwanini isifanyike kimyakimya. M mwenye shida aitafute huko kimyakimya.

Taifa linakuwaje la kiharamiaharamia namna hii na mamlaka husika za kulisimamia hili ni zipi!?? Au ndo tozo!?

Embu tulitafakari hili!?
Kweli kabisa wamezidi !! Mpaka Radioni !!???
 
mfumo mbovu wa elimu , ukosefu wa mitaji, ukosefu wa ajira , kuongezeka idadi ya watu wajinga kwa kasi, utandawazi , kukatika umeme na umaskini huzalisha akili ya kutafuta short cut za kupata pesa za kuishi
Ndio hao wamejaa kwenye mitandao kulaumu na kutukana ila kila wakiamka wanakuta Hali zao ni kama za Jana.
 
Naanza na swali, Je ! Hivi ni sahihi!?

Radioni, TV , Simu , Michezoni, Mpira(kubeti) ni kamari tupuu. Hivi ni sawa!!? Na je hii michezo haramu haina age restriction!?

Hivi ni nini kinaendelea nchini. Yani hapa nimewasha Radio huyu mtangazaji anavyohimiza watu wacheze hiyo buku ni hatari, yani hadi mishipa inamtoka.

Nakumbuka hayati Magufuli alizuia hizi kamari baada ya kuombwa na viongozi wa dini, ikawa banned kufanyika hadharani namna hii. Hivi sasa yoote imerudi .

Watu wanaibiwa tu. Hivi kwanini isifanyike kimyakimya. M mwenye shida aitafute huko kimyakimya.

Taifa linakuwaje la kiharamiaharamia namna hii na mamlaka husika za kulisimamia hili ni zipi!?? Au ndo tozo!?

Embu tulitafakari hili!?
hili swala sio bule, makusanyo nimakubwa sana kupitia tozokamali,huenda nyuma ya hili kuna jambo hata viongozi wa dini wapo kimya harafu wanahubiri maadili, hakuna imani inayoruhusu kamali nikweli serikali haina dini lakini ina ongoza watu wenye dini hivyo kuruhusu haramu nikuvunja sheria za inaowaongoza,hii nchi tunaponzwa na upole wetu
 
"Nakumbuka hayati Magufuli alizuia hizi kamari baada ya kuombwa na viongozi wa dini, ikawa banned kufanyika hadharani namna hii. Hivi sasa yoote imerudi ."

Wafuasi wa huyu jamaa sijui nilini mtaacha kutudanganya
Acha upotoshaji tatu mzuka,biko na hizi
Mashine za machine za kamari kila duka bar na nyumba zilikuwepo na magufuli yupo mnapata faida gan kila kitu kupotosha.
Kikubwa hapa kamari hazifai nimekwenda vijijini mbali sana wilaya ya mfindi chogo, usakame ,mapanda nimekuta mashine hizi na bonanza za mchina watu wanacheza nimeumia sana maana watu wengi huku hawana elimu kabisa juu ya hii michezo ya kamari
 
Back
Top Bottom