Taifa lolote linalofanya mauaji kwa kiongozi wake ambaye amejitoa kulinda maslahi yake hupata laana isiyofutika kirahisi

same songs & same stories just at a very wrong time.
Kifo hakichagui mtu, when your time is up is up. other stories hazitokuwa relevant tena
 
Mshukuru Mungu, mungu alimpenda zaidi
 
Hata Yesu alipofufuka kuna mtu alisema bila kuweka kidole kwenye jeraha lake hataamini kama amefufuka.

Kifo ni kitendawili. Kuna wakati kinaleta maumivu kweli kweli. Lakini kikishatokea Hakuna jinsi. Tunafunga chapter na kusonga mbele
 
Marekani imeua marais wangapi? mbona inaendelea kukimbiza dunia?
Huyo unae msema amekufa kwasababu ya kiburi chake kwanza alivunja kiapo chake cha kuilinda katiba, kiapo kinamaana sana. Imeandikwa ''ukiapa lazima utimize nyapo zako la sivyo usiape kabisa vile Mungu yupo juu na wewe upo chini''.
 
Kazi mnayofanya ningumu Sana aisee Yani dunia inasonga nyie mnalilia kurudu nyuma...my friend tupo awamu ya 6 sasa....amna nchi iliopewa laan hata uko congo sio wananchi waliomuua raisi ni kikundi cha watu mngu hawezi lipa laana taifa kwa ajili ya kikundi kinachoshindana mambo yao yakisiasa no way yanayoendelea congo sio laana ila tu ni ulaghai na uwizi wa Mali ya congo na mataifa mbalimbali na vikundi viovu..inatokea hata kwene taifa Kama Mali ambalo hawakuua raisi wao
 
Mjomba jamaa alishafariki tugange yajayo hata kama bado inauma vumilia tu. Hakuna namna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…