Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
AiseeHivyo ndivyo ilivyo kwa taifa lolote ambalo litatoa uhai wa kiongozi wake ambaye anakuwa madarakani ili kulinda na kutetea mali za umma na maslahi ya taifa lake.
Angalia laana iliyoikumba Congo Drc mpaka leo laana hiyo inawaandama. Baada ya kumuua Lumumba, Mobutu na genge lake waligeuka mafidadi na walafi wa kutafuna mali za umma. Taifa lao pamoja na utajiri wa mali asili lakini lina umaskini mkubwa. Vita vya wenyewe kwa wenyewe visivyokwisha na matatizo lukuki.
Hui ni mfano tu wa namna damu ya kiongozi wa taifa ambaye ni mzalendo anapouwawa na kisha laana kulikumba taifa.
Watanzania tujitafakari sana.
"We created you"
Notation from the supreme Intelligent being.. ....
Allah might be a representation of the higher Intelligent entity who constructed a pair of genetic code that resulted into human being...
Musiba wanahangaika sana hahahahMusiba umeingia kupitia mlango wa nyuma
Lack of senseNa kiongozi yeyote anateteka, kuua na kuwafunga jela wanaompinga kwa hoja hulaaniwa pamoja na vizazi vyake.
Alaaniwe Jiwe
Hujui laana iliyopo huko Usa?Vipi na Marekani walio muua Jf Kennedy?
Kipindi chao cha kutunyanyapaa kimepita sasaMusiba wanahangaika sana hahahah
Musiba kaziniHujui laana iliyopo huko Usa?
Wanajf mnajua kunifurahisha 😀😀Kama unamjua aliyemuua niambie nimlipe kwa kazi nzuri.
Wewe na uzao wako labdaTumeitafuta
Laana ya TAIFA
Au unamaanisha Libya?.ukiniambia gadafi wa irak nitakuelewa maana wengi tunajua watu wake walikula bata!!not otherwise
Hiyo laana naielekeza kwa wote waliohusika kwa namna yoyote ile! Laana na iwatafune vizazi vyao vyote kwa jina la Mungu aliyehai, kwa jina la Yesu Kristo, amen!Hivyo ndivyo ilivyo kwa taifa lolote ambalo litatoa uhai wa kiongozi wake ambaye anakuwa madarakani ili kulinda na kutetea mali za umma na maslahi ya taifa lake.
Angalia laana iliyoikumba Congo Drc mpaka leo laana hiyo inawaandama. Baada ya kumuua Lumumba, Mobutu na genge lake waligeuka mafidadi na walafi wa kutafuna mali za umma. Taifa lao pamoja na utajiri wa mali asili lakini lina umaskini mkubwa. Vita vya wenyewe kwa wenyewe visivyokwisha na matatizo lukuki.
Hui ni mfano tu wa namna damu ya kiongozi wa taifa ambaye ni mzalendo anapouwawa na kisha laana kulikumba taifa.
Watanzania tujitafakari sana.
Tumeitafuta
Laana ya TAIFA
Kaa utafakari na uache upumbavu.
Habari za uwanja wa ndege wa Chato zinaingia vipi? Tumia akili we mpuuzi.Uwanja wa ndege unaota majani hapo chattle badala ya kufyeka, ww unapiga hekaya za abunwas.
We kenge unabashiri mambo kama unawashwa makalio. Kwa nini usijadili walichoandika?
Habari za uwanja wa ndege wa Chato zinaingia vipi? Tumia akili we mpuuzi.