Taifa lolote linalofanya mauaji kwa kiongozi wake ambaye amejitoa kulinda maslahi yake hupata laana isiyofutika kirahisi

Wewe mtoa uzi ni takataka kabisa ,kuna kiongozi gani mzalendo alieuawa?? Ukisema Magufuli yule kajifika kutokana na ugonjwa wake wa moyo ,peleka ujinga wako kwa wajinga wenzako huko Facebook na si hapa Jf
 
Nani amemtaja huyo unaemsema.Tatizo la kuzoea kubog'olewa.
 
Mbona umevuka mpaka tena.
Ngona nichonekee neti kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila shaka waliomuua ni chadema, hasa hasa mbowe na lissu.
 
ukiniambia gadafi wa irak nitakuelewa maana wengi tunajua watu wake walikula bata!!not otherwise
Gaddafi wa wapi??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
ukiniambia gadafi wa irak nitakuelewa maana wengi tunajua watu wake walikula bata!!not otherwise
Una utani na mwendazake wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unakung'utwa wewe sio bure
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
wewe nyumbu wa Veronica unazani tupo Facebook apa humu ni home of great thinker toa ujinga wako humu peleka uko Fb kwa wajinga wenzako
 
Huyo hakuuwawa na watanzania,
Tulimwogopa na hatukuwa tunamweza...Ila. MUNGU atabaki kuwa MUNGU.Yeye MUNGU hamna asichokiweza...anaziondolea mbali laana Kama alivyoiondoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…