Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Taifa linapokuwa na kiongozi ambaye anaonyesha kuwa yupo fair. Kwamba yeye ni mtu safi hataki kusikia wahujumu uchumi, watakatishaji pesa na wala rushwa wakifikishwa kizimbani taifa hilo litambue kuwa anatengeneza mazingira ya kuungwa mkono na wahalifu.
Kwa namna yoyote ile taifa hilo litambue kuwa huyo mtawala anataka kufanya upigaji ili nae apate sapoti ya wapigaji wenzake.
Taifa letu lipo kwenye muelekeo mbaya sana. Wapigaji wakubwa hawaguswi na hii ni dalili mbya.
Tupo kwenye uelekeo mbaya sana.