Taifa lolote linapokuwa na kiongozi anayehadaa umma kuwa yeye ni mtu fair lazima liumie kwa kuibiwa na kiongozi huyo

Taifa linapokuwa na kiongozi ambaye anaonyesha kuwa yupo fair. Kwamba yeye ni mtu safi hataki kusikia wahujumu uchumi, watakatishaji pesa na wala rushwa wakifikishwa kizimbani taifa hilo litambue kuwa anatengeneza mazingira ya kuungwa mkono na wahalifu.

Kwa namna yoyote ile taifa hilo litambue kuwa huyo mtawala anataka kufanya upigaji ili nae apate sapoti ya wapigaji wenzake.

Taifa letu lipo kwenye muelekeo mbaya sana. Wapigaji wakubwa hawaguswi na hii ni dalili mbya.

Tupo kwenye uelekeo mbaya sana.
tulia bado mchezo
 
hakuna kutafuta mchawi, CCM ndiyo imetufikisha hapa tulipo - dawa tuanze na katiba mpya kwanza then tugeukie kwenye Sheria zetu mbofu mbofu tuziondoe then tujenge taifa kwa pamoja.

Mamlaka yarudi kwa wananchi na si kwa CCM kama ilivyo sasa.
 
Taifa linapokuwa na kiongozi ambaye anaonyesha kuwa yupo fair. Kwamba yeye ni mtu safi hataki kusikia wahujumu uchumi, watakatishaji pesa na wala rushwa wakifikishwa kizimbani taifa hilo litambue kuwa anatengeneza mazingira ya kuungwa mkono na wahalifu.

Kwa namna yoyote ile taifa hilo litambue kuwa huyo mtawala anataka kufanya upigaji ili nae apate sapoti ya wapigaji wenzake.

Taifa letu lipo kwenye muelekeo mbaya sana. Wapigaji wakubwa hawaguswi na hii ni dalili mbya.

Tupo kwenye uelekeo mbaya sana.
Wewe NI miongoni mwa watanzania wengi wasiojua wanataka Nini, Kwan ni sahihi kumkamata mtu wakati huna ushahidi?
 
Taifa linapokuwa na kiongozi ambaye anaonyesha kuwa yupo fair. Kwamba yeye ni mtu safi hataki kusikia wahujumu uchumi, watakatishaji pesa na wala rushwa wakifikishwa kizimbani taifa hilo litambue kuwa anatengeneza mazingira ya kuungwa mkono na wahalifu.

Kwa namna yoyote ile taifa hilo litambue kuwa huyo mtawala anataka kufanya upigaji ili nae apate sapoti ya wapigaji wenzake.

Taifa letu lipo kwenye muelekeo mbaya sana. Wapigaji wakubwa hawaguswi na hii ni dalili mbya.

Tupo kwenye uelekeo mbaya sana.
Ukichunguza Concern ya wengi hata katika awamu iliyopita walikuwa wanalaumu kwanini JPM anakula mwenyewe. Vita ilikuwa kali sana dhidi ya mafisadi na wafanyabishara wakubwa ambao walizoea mchezo wa kukwepa audits na kuclear kodi kama inavyotakiwa.

Kupitia hilo tu utaona kwanini sahizi hali ya nchi imezidi kuwa hovyo na yote ni kwa sababu huu umekuwa kama wakati wa kufanya recovery ya system zao za upigaji.

"Magufuli aliharibu sana nchi....."
Translation: Magufuli alitubania sana fursa za kufanya ufujaji wa pesa na kuibia taifa.
 
Kelele tu hizo. Tunajua umekosa fursa ndio maana unaanzisha mada za kumsakama mama kila mara. Tatizo lako ni moja tu. Unadhani fikra zako za chuki ndio mtazamo wa watanzania.
Hii ndio kauli ambayo chawa mnaitumia kama mtaji ila vizazi vyenu vitakuja kudhalilika vibaya sana.
 
Kuongoza nchi ni sanaa na siku zote ni kipaji. Umeamua kuyaamini yale maneno kwamba katika awamu yake ya tano tajiri anafanywa lolote!.

Unapomfanya lolote tajiri maana yake tayari umeshawauwa maskini maelfu kwa maelfu. Ndio akili yako mkuu Nyankurungu2020 inapotaka taifa hili lielekee!?.

Sidhani kama kuna tajiri anayeishi kama shetani ndani ya awamu ya sita, uhusiano ukiwa mwema hakuna sababu ya kutunza hasira.
Siku ukija kutambua kwamba tajiri hana time na mtu zaidi ya faida yake na utajiri wake kuongezeka kwa namna yeyote ile ndio utajua hujui.
Tajiri anachofanya sio kumuinua maskini bali ni kumnyonya masikini ili yeye azidi kupanda juu. Makinika!!!

nchi sasa inaenda kwa kufuata na kuzingatia utawala wa kisheria.
uonevu, hofu na mashaka sasa hakuna, watu wamerudisha imani kwa vyombo vyao.
watu sasa wapo huru kuropoka chochote bila hofu,
uhuru tulio nao sasa unaweza kusema chochote na kikafanyiwa kazi, hata kama kuna ubadhirifu popote pale unaweza kusema bila woga.
kwa sasa hakuna siri wala maficho wala uoga.
Kuna uhuru wa kufichua maovu ila hatua hazitakaa zichukuliwe mpaka Yesu arudi. Kipi bora? Kingine sio kuwa raisi anavunja sheria ila urasimu unatengeneza mianya ya kulinda wahalifu kupitia katiba yenu chakavu. Ili kukwepa huo upuuzi raisi anaweza akatumia power yake kuharakisha utekelezaji mtu apelekwe ndani chap maisha yaendelee akisubiria mvua zake.
 
Siku ukija kutambua kwamba tajiri hana time na mtu zaidi ya faida yake na utajiri wake kuongezeka kwa namna yeyote ile ndio utajua hujui.
Tajiri anachofanya sio kumuinua maskini bali ni kumnyonya masikini ili yeye azidi kupanda juu. Makinika!!!

Kuna uhuru wa kufichua maovu ila hatua hazitakaa zichukuliwe mpaka Yesu arudi. Kipi bora? Kingine sio kuwa raisi anavunja sheria ila urasimu unatengeneza mianya ya kulinda wahalifu kupitia katiba yenu chakavu. Ili kukwepa huo upuuzi raisi anaweza akatumia power yake kuharakisha utekelezaji mtu apelekwe ndani chap maisha yaendelee akisubiria mvua zake.
Mleta mada katumia maneno makali 'kuhadaa umma'. Rais anazunguka dunia nzima kutafuta pesa na wawekezaji, hawezi kukosa uzalendo mpaka awe sehemu ya hadaa kwa umaa.
 
Rais hajasema watuhumiwa wasifikishwe Mahakamani, kasema utaratibu wa kesi kila siku UPELELEZI haujakamilika ni kuwanyima HAKI ZAO. Unamkamata mtu halafu huna ushahidi? Unamsotesha gerezani halafu unakuja na utaratibu wa 'kili kosa lipa utoke au uendelee kusota'!

Peleleza pata ushahidi kisha ndiyo mkamate mtu.
Yaani aendelee kuiba huku akipelelezwa na anajua anapelelezwa.

Akili ya popo.
 
Taifa linapokuwa na kiongozi ambaye anaonyesha kuwa yupo fair. Kwamba yeye ni mtu safi hataki kusikia wahujumu uchumi, watakatishaji pesa na wala rushwa wakifikishwa kizimbani taifa hilo litambue kuwa anatengeneza mazingira ya kuungwa mkono na wahalifu.

Kwa namna yoyote ile taifa hilo litambue kuwa huyo mtawala anataka kufanya upigaji ili nae apate sapoti ya wapigaji wenzake.

Taifa letu lipo kwenye muelekeo mbaya sana. Wapigaji wakubwa hawaguswi na hii ni dalili mbya.

Tupo kwenye uelekeo mbaya sana.
Hujawahi kutujibu, ile Trilioni 1.5 ilienda wapi?
 
Back
Top Bottom