Kaa hivyo hivyo wewe msukule wa Mwendazake. Nyie na Magufuli mlijimilikisha UFISADI na kikundi chenu kidogo na kuiba ma Trillions kwa kipindi kifupi tu.
Hakuna kiongozi toka tupate uhuru mwaka 1961 ambaye amewahi kukutwa na ufisadi mkubwa kumzidi Magufuli. Taarifa za CAG report za kuanzia 2017 hadi 2021 zipo mtandaoni. Zaidi ya Tsh 2.4 Trillion ni ufisadi wa Magufuli kuanzia 2016-21
Magufuli alikufa kwa sababu alitaka abakie anafisadi peke yake na kikundi kidogo cha marafiki zake na ndugu zake akina Dotto, Bashiru, Makonda, Sabaya, Kabudi, Chamuriho, Kijazi, Polepole na Mfugale. Mungu alichukizwa akamyakua