Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Yaani wafuasi wa yule jama, kila moja amejifanya kua mwana falisafa mtaumia paka mkonde miaka 7 ni mingi .Taifa linapokuwa na kiongozi ambaye anaonyesha kuwa yupo fair. Kwamba yeye ni mtu safi hataki kusikia wahujumu uchumi, watakatishaji pesa na wala rushwa wakifikishwa kizimbani taifa hilo litambue kuwa anatengeneza mazingira ya kuungwa mkono na wahalifu.
Kwa namna yoyote ile taifa hilo litambue kuwa huyo mtawala anataka kufanya upigaji ili nae apate sapoti ya wapigaji wenzake.
Taifa letu lipo kwenye muelekeo mbaya sana. Wapigaji wakubwa hawaguswi na hii ni dalili mbya.
Tupo kwenye uelekeo mbaya sana.
Mbona unakuwa mpuuzi?Yaani wafuasi wa yule jama, kila moja amejifanya kua mwana falisafa mtaumia paka mkonde miaka 7 ni mingi .
Mkuu kweli wewe sio msoga gang mwenzanguNchi yetu inarudi nyuma kwa kasi ya 4G
Kelele tu hizo. Tunajua umekosa fursa ndio maana unaanzisha mada za kumsakama mama kila mara. Tatizo lako ni moja tu. Unadhani fikra zako za chuki ndio mtazamo wa watanzania.Taifa linapokuwa na kiongozi ambaye anaonyesha kuwa yupo fair. Kwamba yeye ni mtu safi hataki kusikia wahujumu uchumi, watakatishaji pesa na wala rushwa wakifikishwa kizimbani taifa hilo litambue kuwa anatengeneza mazingira ya kuungwa mkono na wahalifu.
Kwa namna yoyote ile taifa hilo litambue kuwa huyo mtawala anataka kufanya upigaji ili nae apate sapoti ya wapigaji wenzake.
Taifa letu lipo kwenye muelekeo mbaya sana. Wapigaji wakubwa hawaguswi na hii ni dalili mbya.
Tupo kwenye uelekeo mbaya sana.
Utaratibu upo vipi kwani? Miaka yote ndio hivyo. Lakini kuna kiongozi ameweka loophole ili wapigaji wasifikishwe mahakamani kwa kigezo kuwa yupo fairRais hajasema watuhumiwa wasifikishwe Mahakamani, kasema utaratibu wa kesi kila siku UPELELEZI haujakamilika ni kuwanyima HAKI ZAO. Unamkamata mtu halafu huna ushahidi? Unamsotesha gerezani halafu unakuja na utaratibu wa 'kili kosa lipa utoke au uendelee kusota'!
Peleleza pata ushahidi kisha ndiyo mkamate mtu.
Tunakamwishwa na wapigajiNchi yetu inarudi nyuma kwa kasi ya 4G
Fanya utafiti wako. zungumza na wananchi utapata majibu.Kelele tu hizo. Tunajua umekosa fursa ndio maana unaanzisha mada za kumsakama mama kila mara. Tatizo lako ni moja tu. Unadhani fikra zako za chuki ndio mtazamo wa watanzania.
Wewe utakuwa Sukuma gang. Tulipita kipindi cha giza kwenye utawale wa JiweTaifa linapokuwa na kiongozi ambaye anaonyesha kuwa yupo fair. Kwamba yeye ni mtu safi hataki kusikia wahujumu uchumi, watakatishaji pesa na wala rushwa wakifikishwa kizimbani taifa hilo litambue kuwa anatengeneza mazingira ya kuungwa mkono na wahalifu.
Kwa namna yoyote ile taifa hilo litambue kuwa huyo mtawala anataka kufanya upigaji ili nae apate sapoti ya wapigaji wenzake.
Taifa letu lipo kwenye muelekeo mbaya sana. Wapigaji wakubwa hawaguswi na hii ni dalili mbya.
Tupo kwenye uelekeo mbaya sana.
Kabisa mkuu, kipindi cha Jiwe tulirudi kwenye ujimaNchi yetu inarudi nyuma kwa kasi ya 4G
kuna haja ya viongozi wetu kufundishwa uzalendo na kujua kila aina ya rasilimali tulizonazo na matumizi ya rasilimali hizo kwa ustawi wa Taifa na watu wake ...........tumeona kwa macho yetu wenyewe kuna changamoto kubwa katika eneo hiloUtaratibu upo vipi kwani? Miaka yote ndio hivyo. Lakini kuna kiongozi ameweka loophole ili wapigaji wasifikishwe mahakamani kwa kigezo kuwa yupo fair
Kaa hivyo hivyo wewe msukule wa Mwendazake. Nyie na Magufuli mlijimilikisha UFISADI na kikundi chenu kidogo na kuiba ma Trillions kwa kipindi kifupi tu.Taifa linapokuwa na kiongozi ambaye anaonyesha kuwa yupo fair. Kwamba yeye ni mtu safi hataki kusikia wahujumu uchumi, watakatishaji pesa na wala rushwa wakifikishwa kizimbani taifa hilo litambue kuwa anatengeneza mazingira ya kuungwa mkono na wahalifu.