Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
-
- #41
Acha kuishi maisha ya umbeya. Kama kuna watu walidhulumiwa wasaidie kwenda MahakamaniWale wazalendo waliokuwepo zile hela za malipo ya wahujumu uchumi walizokusanya ziliwekwa kwenye akaunti gani ya serikali ? Maana CAG Hakuziona !
Mpigaji mkuu akihamasisha wapigaji wakubwa jinsi ya kutafuna nchi kimasihara[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2263094
SSH ni mpango wa Mungu. Hakika baada ya yule Shetani wa Chato ambaye alikuwa anatugawa kiitikadi na kikabila, akiua na kutudanganya, tumepata kiongozi mwenye upendo, mcha Mungu na anayeipenda nchi yetu kwa dhati. Tanzania Iko salama sana mikononi mwake.Tangu nizaliwe sijawahi kuona (au kusikia uwepo wa) mkuu wa nchi reckless kiasi hiki. Nadhani huyu kiumbe ana ubongo wa panzi.
Huu uharo ungekaa nao huku ukiula hapo kwa shemeji yako kuliko kupost upuuziSSH ni mpango wa Mungu. Hakika baada ya yule Shetani wa Chato ambaye alikuwa anatugawa kiitikadi na kikabila, akiua na kutudanganya, tumepata kiongozi mwenye upendo, mcha Mungu na anayeipenda nchi yetu kwa dhati. Tanzania Iko salama sana mikononi mwake.
Wanaomchukia ni waabudu mungu mtu wa Chato tuliyemfukia mwaka jana Machi
Huna hoja zaidi ya chuki za kikeNafuu niwe chawa wa Samia kuliko kuwa worshipper w DIKTETA wa Chato.
Huwezi kuelewa kama ubongo wako hujautayarisha kuelewa.Rubish
Lini ulishawhi kuwa na akili timamau?Huwezi kuelewa kama ubongo wako hujautayarisha kuelewa.
We mburula kaa kimya.Wewe umepiga kiasi gani hadi sasa?
Hilo swali linakuhusu wewe mkuu. Kafariki March 2021 mpaka leo wewe ni mfuasi wake mwaminifu, unadhani kichwani upo sawa kweli?.Lini ulishawhi kuwa na akili timamau?
Nilishakupuuza kitambo. Huna uwezo wa kujadili mambo ya msingi unalazimishaHilo swali linakuhusu wewe mkuu. Kafariki March 2021 mpaka leo wewe ni mfuasi wake mwaminifu, unadhani kichwani upo sawa kweli?.
Kwani ili ilisogea mbele magufuli sรฏ alikuwa aijichoea tu mapesa yeye na wajomba zake mpaka kufika kugawa mabarabarani na nyengine kugawana na rafiki zake kina mfungate aliyemchotea mapesa eti akanunue mashine za kiwanda cha sukari, acheni maneno Mwacheni mama afanye kazi.Nchi yetu inarudi nyuma kwa kasi ya 4G
Jibu swali,umepiga kiasi gani hadi sasa? ๐๐๐๐๐๐We mburula kaa kimya.
Shida ni kuwa utampeleleza mhalifu akiwa wapi? Kazini au nyumbani? Au mahabusu? Nasajesti apelelezwe akiwa nyumbani kama ni mtumishi wa umma.kama ni swala linalohusu usalama basi mhalifu awepo mahabusu !!Rais hajasema watuhumiwa wasifikishwe Mahakamani, kasema utaratibu wa kesi kila siku UPELELEZI haujakamilika ni kuwanyima HAKI ZAO. Unamkamata mtu halafu huna ushahidi? Unamsotesha gerezani halafu unakuja na utaratibu wa 'kili kosa lipa utoke au uendelee kusota'!
Peleleza pata ushahidi kisha ndiyo mkamate mtu.
Hujui kusoma halafu unaandika humu. Rudi kaanze darasa la awali.Kaa hivyo hivyo wewe msukule wa Mwendazake. Nyie na Magufuli mlijimilikisha UFISADI na kikundi chenu kidogo na kuiba ma Trillions kwa kipindi kifupi tu.
Hakuna kiongozi toka tupate uhuru mwaka 1961 ambaye amewahi kukutwa na ufisadi mkubwa kumzidi Magufuli. Taarifa za CAG report za kuanzia 2017 hadi 2021 zipo mtandaoni. Zaidi ya Tsh 2.4 Trillion ni ufisadi wa Magufuli kuanzia 2016-21
Magufuli alikufa kwa sababu alitaka abakie anafisadi peke yake na kikundi kidogo cha marafiki zake na ndugu zake akina Dotto, Bashiru, Makonda, Sabaya, Kabudi, Chamuriho, Kijazi, Polepole na Mfugale. Mungu alichukizwa akamyakua
"Unapomuona mtu ambaye hana chochote lakini miezi michache tu baada ya kupata cheo anakuwa tajiri mkubwa hapa ndipo wananchi wanahoji na wanastahili kupata majibu kwa wanaohojiwa ndugu zangu tuwe waadilifu" Haya ni maneno kutoka kwa baba mmoja mwenye ukwasi.Mpigaji mkuu akihamasisha wapigaji wakubwa jinsi ya kutafuna nchi kimasihara๐๐