Taifa lolote linapokuwa na kiongozi anayehadaa umma kuwa yeye ni mtu fair lazima liumie kwa kuibiwa na kiongozi huyo

tulia bado mchezo
 
hakuna kutafuta mchawi, CCM ndiyo imetufikisha hapa tulipo - dawa tuanze na katiba mpya kwanza then tugeukie kwenye Sheria zetu mbofu mbofu tuziondoe then tujenge taifa kwa pamoja.

Mamlaka yarudi kwa wananchi na si kwa CCM kama ilivyo sasa.
 
Wewe NI miongoni mwa watanzania wengi wasiojua wanataka Nini, Kwan ni sahihi kumkamata mtu wakati huna ushahidi?
 
Ukichunguza Concern ya wengi hata katika awamu iliyopita walikuwa wanalaumu kwanini JPM anakula mwenyewe. Vita ilikuwa kali sana dhidi ya mafisadi na wafanyabishara wakubwa ambao walizoea mchezo wa kukwepa audits na kuclear kodi kama inavyotakiwa.

Kupitia hilo tu utaona kwanini sahizi hali ya nchi imezidi kuwa hovyo na yote ni kwa sababu huu umekuwa kama wakati wa kufanya recovery ya system zao za upigaji.

"Magufuli aliharibu sana nchi....."
Translation: Magufuli alitubania sana fursa za kufanya ufujaji wa pesa na kuibia taifa.
 
Kelele tu hizo. Tunajua umekosa fursa ndio maana unaanzisha mada za kumsakama mama kila mara. Tatizo lako ni moja tu. Unadhani fikra zako za chuki ndio mtazamo wa watanzania.
Hii ndio kauli ambayo chawa mnaitumia kama mtaji ila vizazi vyenu vitakuja kudhalilika vibaya sana.
 
Siku ukija kutambua kwamba tajiri hana time na mtu zaidi ya faida yake na utajiri wake kuongezeka kwa namna yeyote ile ndio utajua hujui.
Tajiri anachofanya sio kumuinua maskini bali ni kumnyonya masikini ili yeye azidi kupanda juu. Makinika!!!


Kuna uhuru wa kufichua maovu ila hatua hazitakaa zichukuliwe mpaka Yesu arudi. Kipi bora? Kingine sio kuwa raisi anavunja sheria ila urasimu unatengeneza mianya ya kulinda wahalifu kupitia katiba yenu chakavu. Ili kukwepa huo upuuzi raisi anaweza akatumia power yake kuharakisha utekelezaji mtu apelekwe ndani chap maisha yaendelee akisubiria mvua zake.
 
Mleta mada katumia maneno makali 'kuhadaa umma'. Rais anazunguka dunia nzima kutafuta pesa na wawekezaji, hawezi kukosa uzalendo mpaka awe sehemu ya hadaa kwa umaa.
 
Yaani aendelee kuiba huku akipelelezwa na anajua anapelelezwa.

Akili ya popo.
 
Hujawahi kutujibu, ile Trilioni 1.5 ilienda wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…