Taja beats za nyimbo kali zaidi kuwahi kutengenezwa Tanzania

Ila blue alipendelewa japo anajua sana.Wakati blue anaingia na beat likabadilika kumakaribisha blue
Hahaaaa labda waliona yeye anachana akiwekewa beat la kuimba halitonoga.
 
Blu style yake ilikua amazing kweli.

Zaman mziki ulikua ni kuburudisha siku hizi mziki umekua biashara tu. Mtu analala anaaamka kawa producer au mwanamuziki.

Beat kama la dullayo la naumia roho utalisikia wap siku hizi
Daaah umenikumbusha Dullayo aiseee.... Siku hzi ujanja ujanja mwingi sana, ndio maana ladha imekuwa ya kufanana kwa maproducer wengi refer aibu ya nandy na goma la shetta n.k. Mfano kwa ladha za bongo ilikuwa kosa kiforce vitu kama trap bits, club bangers/tecno... Ila ukisasa na biashara umezalaisha hayo yote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie nisiwe muongo nyimbo za miaka hii ninazosikiliza zaidi ni za diamond na mbosso ili niburudike tu. Za wengine hata sizijui.
Wafanye kurudisha bongo fleva ya zamani aiseee hawa wa siku hizi wanaharibu tu mziki
 
Hahaaaa labda waliona yeye anachana akiwekewa beat la kuimba halitonoga.
Nimeisikiliza tena hapa ,namuona blue anaimba kwa beat tofauti na waliyotumia wenzie
 
Mie nisiwe muongo nyimbo za miaka hii ninazosikiliza zaidi ni za diamond na mbosso ili niburudike tu. Za wengine hata sizijui.
Wafanye kurudisha bongo fleva ya zamani aiseee hawa wa siku hizi wanaharibu tu mziki
hahaha me miaka hii narudia za kina nelly na wengine back uko miaka ya 2000
 
Kufanana kwa beats inaweza isiwe ishu sana, kumbuka Promota anabeep ya Prof J na Napokea simu ya Ngwea AU Nitoke vipi ya Misosi na nimechezea bahati ya Man X

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie nisiwe muongo nyimbo za miaka hii ninazosikiliza zaidi ni za diamond na mbosso ili niburudike tu. Za wengine hata sizijui.
Wafanye kurudisha bongo fleva ya zamani aiseee hawa wa siku hizi wanaharibu tu mziki
Siku hizi hamna kitu, makelele tu... Iv unamkumbuka Dknob mzee wa sauti ya dhahabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kufanana kwa beats inaweza isiwe ishu sana, kumbuka Promota anabeep ya Prof J na Napokea simu ya Ngwea AU Nitoke vipi ya Misosi na nimechezea bahati ya Man X

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa chief ila angalia jinsi imekuwa kawaida sasa hivi. Pia msanii kutembelea line moja tu hata ukiwa unapita tu unajua hii flow ya Bahati huyu.... Ila zama hizo ukimkuta Prof Jay wa "wapi nimekosea" na "naahidi" huezi fananisha kirahisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…