Taja jimbo unaloona linakwenda upinzani 2025 endapo Tume ya Uchaguzi itakuwa ya haki

Vunjo, Moshi Vijijini, Moshi Mjini, Rombo, Hai na Siha mkoani K'Njaro lazima yatarudi upinzani kwani watu wa kule wanajielewa vyema. Sina uhakika sana na Same Mashariki/Magharibi na Mwanga kwani kule ni species ingine na bado kidogo u-zuzu upo.
Hivi kwanini watu hudhani Kilimanjaro ni ya wapinzani?... Hapo labda vunjo, hai, na siha ila huko kwengine wapinzani hawawezi chukua
 
2025 ni fursa nzuri sana ya kuingia bungeni, maana CCM wameshaona wanawahitaji wapinzani bungeni, kwahiyo dizaini fulani tutegemee baadhi ya viti kwenda upinzani... tena haswa haswa wale CCM ambao wapo against mama Samia nahisi wanaenda kupotea
 
Moshi mjini
Mwanga
Hai
Siha
Arusha mjini
Arumeru
Kilombero
Tunduma, CCM wasiweke tu mgombea, huyo Silinde atapigwa kwenye kula na mawe pia atapigwa mtaani, haha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…