Taja jina la mtu ambaye hujawahi kukutana nalo zaidi ya mara moja

Mtu mwenye jina kama langu kwa mwaka huwa nakutana nae mara 1 tuu na saa zingine mwaka unakatika sijakutana na mtu tunafanana nae jina..
 
wakuu mambo ni vipi
Embu Leo Taja jina la mtu ambaye hujawahi Kulisikia tena baada ya kukutana na mtu analitumia.

Mimi nilikutana na jamaa anaitwa drufiano lile jina sijawahi kulisikia sehemu nyingine hata gugo halipo.
Taja jina ambalo ulikutana na mtu analitumia hujawahi kulisikia tena mahali nyingine
Jakaya
 
Wagagigikoko
 
Back
Top Bottom