Taja kitu kisicho na ukweli ila watu wengi wamekariri ni ukweli bila ushahidi

Alikufa ,Akazikwa,Akashuka kuzimu,Akafufuka,Akapaa mbinguni,Ameketi mkono wa kuume wa Mungu Baba,kutoka huko Atakuja kuwahukumu walio hai na wafu.
Namwamini Huyo kweli ..

Siku atakayokuja hakuna aijuaye,yawezekana anavyokuja utakuwepo au hutakuwepo.
Na hao waliokufa wanasubiri yeye.
Ni suala la muda tu!

Wewe acha kupotoshwa na mafundisho ya uongo.
Yule jamaa kawauza vibaya, bahati mbaya ashajiondokea amewaacha mnahaha tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukiwa unapiga mluzi ndani ya nyumba, Unga utaisha haraka.
 


Si alipaa mbinguni kuwakimbia mayahudi?!!-- ashuke tena kufuata nini na mayahudi bado wangalipo!!, wakimsulubu tena??!!.

Hebu niambie huko juu bado anayo ile nguo aliyopaanayo au kashonewa nguo zingine?? Huko juu anakula nini na nani anampikia na analala vipi?? Kwa ujumla mahitaji yake ya kimwili anayapataje??? Kwakuwa mnaamini alipaaa kimwili.
 
Wewe ndio una imani potofu.!

habari za kitabu cha yesu ulisoma?

Unajua utabiri wa kuzaliwa yesu ilipita miaka mingapi utabiri huo utimie?

Unajua utabiri wa kuzaliwa na kufa kwa yesu vilitabiriwa Kwenye Biblia kabla hata yeye hajazaliwa?

Unajua hata kurudi kwake kulitabiriwa?

Mnachojua ni kukosoa kitu ambacho hamna hata ujuzi nacho.
 
Nenda kamuulize
Biblia haijasema kuhusu hayo.

Mohamad aliwadanganya hivyo??kuwa anaogopa kushuka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…