1. Ukingata kizibo cha soda ya chupa, ukakitia ndani ya soda, gesi inapungua
2. Sukari ndio inasababisha kisukari
3. Tuna demokrasia (uhuru wa kujieleza bila vizuizi, uchaguzi huru bila majeshi kuingilia, n.k)
Hapa mkuu umekosea ondoa chuki zako na ufe zako hukoYesu ni mungu...lakini inajulikana wazi Yesu yeye si Mungu... wala mwana wa Mungu..
Kumbe unamjua MunguDada angu tuelewane kidogo.
Nampinga mungu na sio Mungu. Mungu ni muweza wa yote lakini mungu anaubaguzi.
Nawachosha wewe na naniKumbe unamjua Mungu
Sasa Mbona unatuchosha bure?
Kama hujui unataka ueleweshwe, sema tukusaidieYesu ni mungu...lakini inajulikana wazi Yesu yeye si Mungu... wala mwana wa Mungu..
Huyu jamaa watu walimsingizia mambo mengi sana ya uongoAlhaj Gen. Iddi Amini alikuwa anakula nyama za watu.
Huu ujinga unasomwa kabisa [emoji23][emoji23]
Ndiyo alishinda Kwa haki lisu Hana sifa ya kuongoza hii nchi na lisu Hana uwezo wa kupata kura nyingi zaidi ya Magufuli.Magufuli alishinda uchaguzi kwa haki
Dini, ni uongo na uzushi bado watu wanafikiri ni ukweli1. Ukingata kizibo cha soda ya chupa, ukakitia ndani ya soda, gesi inapungua
2. Sukari ndio inasababisha kisukari
3. Tuna demokrasia (uhuru wa kujieleza bila vizuizi, uchaguzi huru bila majeshi kuingilia, n.k)
Mvua ikinyesha na Jua kuchomoza kwa wakati mmoja Simba anazaa
πππππππHakuna uchawi.