Taja kitu kisicho na ukweli ila watu wengi wamekariri ni ukweli bila ushahidi

Kingine wengi wanaamini Jf ni sehemu salama sana kiasi kwamba eti taarifa zako ni siri hata serikali ikizihitaji hawawezi kupewa [emoji28]
Zinapatikana asubuhi ya mapema SAA mojamoja kamili ya Sikh hiyo hiyo!
 
1.Kwamba Mungu aliumba Dunia na vilivyomo!
2.Mungu anaishi mbinguni
3.Mungu ana adui yake anaitwa Shetani
4.mungu Hana mwanzo Wala mwisho


Uongo na hekaya!
 
YESU NI MUNGU, huu UPUMBAVU UMETAWALA vichwani mwa wajinga wengi mno
 
k
1. Ukingata kizibo cha soda ya chupa, ukakitia ndani ya soda, gesi inapungua

2. Sukari ndio inasababisha kisukari

3. Tuna demokrasia (uhuru wa kujieleza bila vizuizi, uchaguzi huru bila majeshi kuingilia, n.k)
Kwamba Velocity=Speed x Mass
 
1. Ukingata kizibo cha soda ya chupa, ukakitia ndani ya soda, gesi inapungua

2. Sukari ndio inasababisha kisukari

3. Tuna demokrasia (uhuru wa kujieleza bila vizuizi, uchaguzi huru bila majeshi kuingilia, n.k)
Moja ni kweli, mbili pia ni kweli to much consumption of sugar lead to .....
 
1. Ukingata kizibo cha soda ya chupa, ukakitia ndani ya soda, gesi inapungua

2. Sukari ndio inasababisha kisukari

3. Tuna demokrasia (uhuru wa kujieleza bila vizuizi, uchaguzi huru bila majeshi kuingilia, n.k)

Wanawake huwezi kuwaamin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…