Mkuu hapo namba 1 nami huwa sielewi kwa nn ukitia kizibo povu linatoka kwa fujo. Nikajua ile ni gesi yenyewe[emoji1787]1. Ukingata kizibo cha soda ya chupa, ukakitia ndani ya soda, gesi inapungua
2. Sukari ndio inasababisha kisukari,
Wametohoa labda [emoji1787]AMBAKATI CHEMBE KIDEVU LAZIMA UKAE.
Pole sana,lkn ipo siku ndipo utakapokuja kuamini.Yesu sio Mungu wala mwana wa Mungu. Haijawahi kutokea na haitakuja iwe
Haya tuambie tiba ya UkimwiUnaamini kanisa ukimwi umekosa tiba??
People are doing business bro
Ndiyo yupo.Kwamba kuna Mungu muumba wa kila kitu
Magufuli ni mpango wa Mungu
Sio ugonjwa, ni janja janja tu ya wasomi dhidi ya wenye uwelewa mdogo wa maswala ya afya.Kwa hiyo Ukimwi una tiba?
Utuombe radhi wanaumeWanaume hawanyi.
Hiyo ni kweli mkuu, kama vipi jaribu uone.Ukiramba kipepsi (kiwiko) cha mkono unageuka jinsia?
Hallow naona unakoelekea siko, unataka matatizo wewe, sio bure. Mbona mtume wenu yule mwarabu sisi hatujamsema? Heshimu Imani za watu.
Kuna magonjwa mbalimbali,kama n magonjwa yanayotokana na vijidudu hata uombewe na mashekhe na pastor wa tz nzima huponi,lakin kama ugonjwa umetokana nguvu za Giza utapona hata ukiombewa na mimUkimwombea mgonjwa anapona
Huu ujinga asilimia kubwa sana wanaamini
Nguvu za giza zipoje?? Ugonjwa gani unatokana na nguvu za giza?Kuna magonjwa mbalimbali,kama n magonjwa yanayotokana na vijidudu hata uombewe na mashekhe na pastor wa tz nzima huponi,lakin kama ugonjwa umetokana nguvu za Giza utapona hata ukiombewa na mim