Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chakula kipo mpaka cha jero alafu unasema maisha magumu ase....
Kama Moro ni ghali na Arusha patakuaje kiongozi?Morogoro kuzuri japo maisha ghali Sana, kma huna kipato Cha kueleweka huwez kuish, pia Morogoro pabaya Sana during rain season.
chakula cha jero anaogopa kipindupinduChakula kipo mpaka cha jero alafu unasema maisha magumu ase....
Morogoro ya wapi sijui anaongelea huyo, eti sio kuzuri during rain season,wakati masaa mawili baada ya mvua kuisha kunakuwa kukavu hakuna tope kabisa,labda sokoni kutokana na wingi wa watu.yani hapa nanasi hadi 200 unapata,Chakula kipo mpaka cha jero alafu unasema maisha magumu ase....
Ndio mkuuUnajuta kufika kigoma mkuu
Kwanini sasa mtani
Alafu nasikia kuna wajamaa wanaitwa teleza
EvilsSpirit unatisha naiyo avatar yakosijawahi kufika chato na kolomije na sintokaa nifike