Taja mkoa ambao hujawahi fika na huna mpango wa kufika na unajutia kufika mkoa gan

Taja mkoa ambao hujawahi fika na huna mpango wa kufika na unajutia kufika mkoa gan

natamani sana nifike kanda ya kati na kanda ya ziwa, haswa kanda ya ziwa nasikia tuu wanapasifia ila sijui kukoje, haswa nikifika pale nyegezi maana pamesifiwa sana mpaka kuleta tafrani nchini.
Karbu sana kanda ya ziwa
 
mikoa ya Lindi, Mtwara huko dah napatamani sana....sijawahi kufika nahisi nimepungukiwa sana
 
Chakula kipo mpaka cha jero alafu unasema maisha magumu ase....
Morogoro ya wapi sijui anaongelea huyo, eti sio kuzuri during rain season,wakati masaa mawili baada ya mvua kuisha kunakuwa kukavu hakuna tope kabisa,labda sokoni kutokana na wingi wa watu.yani hapa nanasi hadi 200 unapata,
 
Na hao tena. Bado usiku uogope warundi na teleza. Kigoma hapana. Nikikumbuka wale askari polisi tumepanda nao bus eti wanatusindikiza tusivamiwe njiani
Alafu nasikia kuna wajamaa wanaitwa teleza
 
Back
Top Bottom