Taja raha za kuwa single ili wenye ndoa wajifunze

Walishakuwaga single! Huwezi mpa experience, alishapita usingle sasa ana ndoa, mnajudanganyaga tu, bado ndoa ni jambo jema, Nina 15 kwenye ndoa, sijawahi kujuta
Ndoa vile vile hazifanani kama walivyo watu hawafanani.
 
Maswala ya kuulizwa uko wapi?
Unafanya nini?
Uko na nani?
Unarudi saa ngapi?
Mbona umechelewa sana kurudi?

Ndoa ni utumwa...
Mwanamke wa kwanza kuamka,afanye usafi,akupikie chai,akutandikie kitanda aandae watoto na yeye ajiandae aende kazini...

Mkirudi wote mmechoka,akupikie n.k
Hachoki?
 
Kwa mwanamke hyo Ni nature yake mkuu ...
 
Na wengine wanakuwa wagonjwa afya mgogolo hivyo hujifariji tu, nimeongezea kidogo hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…