Taja raha za kuwa single ili wenye ndoa wajifunze

Taja raha za kuwa single ili wenye ndoa wajifunze

Walishakuwaga single! Huwezi mpa experience, alishapita usingle sasa ana ndoa, mnajudanganyaga tu, bado ndoa ni jambo jema, Nina 15 kwenye ndoa, sijawahi kujuta
Ndoa vile vile hazifanani kama walivyo watu hawafanani.
 
20220910_215008.jpg
 
Maswala ya kuulizwa uko wapi?
Unafanya nini?
Uko na nani?
Unarudi saa ngapi?
Mbona umechelewa sana kurudi?

Ndoa ni utumwa...
Mwanamke wa kwanza kuamka,afanye usafi,akupikie chai,akutandikie kitanda aandae watoto na yeye ajiandae aende kazini...

Mkirudi wote mmechoka,akupikie n.k
Hachoki?
 
Maswala ya kuulizwa uko wapi?
Unafanya nini?
Uko na nani?
Unarudi saa ngapi?
Mbona umechelewa sana kurudi?

Ndoa ni utumwa...
Mwanamke wa kwanza kuamka,afanye usafi,akupikie chai,akutandikie kitanda aandae watoto na yeye ajiandae aende kazini...

Mkirudi wote mmechoka,akupikie n.k
Hachoki?
Kwa mwanamke hyo Ni nature yake mkuu ...
 
Amani , Uburu , Ni rahisi kupangilia bajeti kama ni mtu wa malengo , Wako focused , Wengi walio single ni wale ambao walipitishwa ubatizo wa moto na wapenzi wao.. hii inawapa nafasi ya kijijua zaidi na kurelflect what went Wrong kwenye previous relationship .
Wengine wataongezea....

NB :Hakuna mtu anaependa kuwa single kama amekamilika ni hali tu ya kukosa mtu sahihi at right time

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Na wengine wanakuwa wagonjwa afya mgogolo hivyo hujifariji tu, nimeongezea kidogo hapo.
 
Back
Top Bottom