Taja raha za kuwa single ili wenye ndoa wajifunze

Ukiwa single unakuwa na uhuru sana, yaani yale mambo sijui dem/bwana atanionaje hayapo kabisa. Tunaenda popote tunapotaka mda wowote huulizwi unarudi saa ngapi, huambiwi urudi saa ngapi na wala hakuna mtu utamuacha amenuna huku nyuma wakt we unahangaika na mambo yako.

Ila kitu pekee kinaumiza ukiwa single ni upweke, yani kuna muda unatamani uwe na mtu wa ku take care of you lakini huna. Watu wanakuona you are wilding too hard kumbe uko ndani upweke nao unachangia[emoji38][emoji38]
 
Hapo nakua muoga .....unaweza kata Moto ....mtu kujua[emoji23][emoji23]
Hata nikirudi saa nane za usku hakuna makelele na mtu. Hata ni lale na viatu fresh tu. Ila nikiugua nauchukia usingle
 
Kati ya wote.....aliyekatwa mashine...alikula hasara heavyweight
 
marriage is the biggest scam of all time. hongereni sana vijana ambao mmechagua kuwa single. nawaonea wivu sana.
Kivp mkuu.....tupe madini hapa[emoji23][emoji23]
 
Noted[emoji23][emoji23]
 
Kuwa single ni kiwango cha juu cha umaskini,kujichelewesha na mwisho kbs lazma ujute
 
Huwa inatokana na nn kumchoka mwenzio hatua hiyo[emoji23]sihami Kwa mama aisee km ndo ivo
Lack of creativity
Kila siku kutumia style moja
Kila siku kumpikia maharage
 
Mkuu kwenye kupika tuna gesi

Kupiga deki ....now tuna carpets
 
Upweke mbaya sana
Lack of creativity
Kila siku kutumia style moja
Kila siku kumpikia maharage
Khe Sasa huachi Hela ya nyama na mboga za majani au mm ndo sijaelewa
 
Duuuuh mkuu....umeshaoa tyr mbna unatutukana[emoji23][emoji23]
 
Mkuu kwenye kupika tuna gesi

Kupiga deki ....now tuna carpets
Uko sahihi afu wanaosema eti ukiwa na ndoa hakuna Gharama eti unamgonga Bure mke Mimi nawapinga coz mke atakaa kimya unamgonga TU ila siku akikutoka anakutoka kirungu Cha kweli..utasikia na shida la laki mbili na ukicheki umechukua mshahara wa millioni utaona acha nimpe mke...ila malaya wa elfu kumi hata ukimla Mara kumi kwamwezi umetumia laki...assume geust NI ghetto lako..halafu akija NI ngono TU kula kila mtu kwao...pia siku nyingine unamgonga then unamkopa unamwelekeza una buku tano
 
Vpi kuhusiana na haya maswali

1Mume wangu, gesi 2.imeisha.........mchele umeisha.
3.Mtoto anaumwa
4.Nguo za sikukuu
5.Mama yangu ( mke) utamjengea lin nyumba

6Nywele nutabadilisha lini 75k 1per 1week??????
hiv hizi sample mnazitoa wap? yan unia,bie hiv hapo hapo utaomba tuachane. yan ashindwe kumjengea baba yako mm ndio niweze
 
Walishakuwaga single! Huwezi mpa experience, alishapita usingle sasa ana ndoa, mnajudanganyaga tu, bado ndoa ni jambo jema, Nina 15 kwenye ndoa, sijawahi kujuta
Mkuu ...vtu gan ambavyo wew unafaidi....alafu sisi hatupati???
 
For sure maisha ...yanakuwa simple sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…