Taja Taasisi ya Serikali ya Tanzania ambayo ilipaswa ifutwe mara 1 bila majadiliano ya Bunge

1.NIDA haraka sana
2.CCM ifutwe na Wana chama waolewe wote.


Uhamiaji watiwe bakora pia
 
Bunge
 
Serikali ya Tanzania yenyewe mizengwe mitupu.

Kwa hivyo hizo taasisi utazionea kuzifuta bila kubadili chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…