Taja Taasisi ya Serikali ya Tanzania ambayo ilipaswa ifutwe mara 1 bila majadiliano ya Bunge

NIDA ni kichefuchefu
 
BASATA ni uozo
 
1.NIDA
2. NIC
3. TCRA
4. BODI YA TUMBAKU
5.BODI YA MAZIWA
6. NARCO
7.NAFCO
8. BUNGE
9. BODI YA PAMBA
10. BODI YA PARETO
11. BODI YA NYAMA
12. WIZARA YA MIFUGO
13. NHIF
14. TANESCO.
 
Jeshi la naniliu,hasa Hawa wa barabarani
Niliwahi pia kushauri hawa yange yange wa barabarani wote warudishwe kwao ili waongeze nguvu kwenye ulinzi wa raia na mali zao. Usalama barabarani uundiwe wakala wake mpya unaojitegemea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…