Taja Taasisi ya Serikali ya Tanzania ambayo ilipaswa ifutwe mara 1 bila majadiliano ya Bunge

Kila mwajiriwa ana maboss 3 tu katika nchi hii, hao ndio huweza hata kumfukuza kazi
1. Rais
2. Katibu mkuu kiongozi na
3. Mkuu wa taasisi yako .
Mwenye taarifa zote na aliyekasimishwa mamlaka juu ya watumishi wote na RAIS ni katibu mkuu kiongozi.
Mkuu acha kupotosha kila mwajiriwa wa Serikali ana boss moja tu na sio vinginevyo.Na mifumo ya Serikali ilivyowekwa anayekuajiri hawezi kukufuta kazi bali atashauri tu na Bodi/Kamati husika ndio inaweza kukufuta kazi.

Hiyo,Watumishi wote wa Umma mabosi wao ni Wakuu wa Taasisi zao na Katibu Mkuu kiongozi ingawa ni Mkuu wa Utumishi wa Umma ila hana Mamlaka ya kumfuta kazi mtumishi yoyote pasipo concert ya Bodi/Kamati husika.
 
Wewe ulipoteza , wenzio usajili wakwanza kabisa lakini hawajawahi pata mpaka leo [emoji3][emoji3][emoji3] hata rangi yake hawaifahamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasikitisha sana utendaji wa aina hii.
 
[emoji23]

Sent from my PDBM00 using JamiiForums mobile app
Ukienda TAESA utakuta wafanya kazi wamekaa bila kazi mpka wanasinzia

ukienda kazi yao ni kukunanga tu

utasikia wanasema "watoto wa siki hzi hawapendi kujishughulisha wanapenda kila kitu wafanyiwe
angalau kitatizo kidgo tu cha kusolve mwenyewe anakuja ofisini"



Sent from my PDBM00 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…