Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Mkuu acha kupotosha kila mwajiriwa wa Serikali ana boss moja tu na sio vinginevyo.Na mifumo ya Serikali ilivyowekwa anayekuajiri hawezi kukufuta kazi bali atashauri tu na Bodi/Kamati husika ndio inaweza kukufuta kazi.Kila mwajiriwa ana maboss 3 tu katika nchi hii, hao ndio huweza hata kumfukuza kazi
1. Rais
2. Katibu mkuu kiongozi na
3. Mkuu wa taasisi yako .
Mwenye taarifa zote na aliyekasimishwa mamlaka juu ya watumishi wote na RAIS ni katibu mkuu kiongozi.
Hiyo,Watumishi wote wa Umma mabosi wao ni Wakuu wa Taasisi zao na Katibu Mkuu kiongozi ingawa ni Mkuu wa Utumishi wa Umma ila hana Mamlaka ya kumfuta kazi mtumishi yoyote pasipo concert ya Bodi/Kamati husika.