Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,754
- 4,746
Hii iloshavunjwa. Ni dara kwenye Wizara ya Kazi nadhan.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii iloshavunjwa. Ni dara kwenye Wizara ya Kazi nadhan.
🤣 🤣 🤣 Ilikufanyaje Mkuu?NIDA
Mwaka wa 4 huu sina kitambulisho🤣 🤣 🤣 Ilikufanyaje Mkuu?
Hawajakuunganishia maji au wanatembeza mgawo?Mwauwasa
Kuna bodi inayoshughulikia maziwa (milk).Uniuliza wanafanya shughuli gani hata sijui.ila yupo na wakurugenzi wakemnamanisha maziwa ya kunywa ama hizi water bodies
Wastani wa mikoa ya kusini Lindi , mtwara wa kunywa maziwa ni kijiko kimoja (1) kwa mwaka.Kuna bodi inayoshughulikia maziwa (milk).Uniuliza wanafanya shughuli gani hata sijui.ila yupo na wakurugenzi wake
Ndugu acha kubisha vitu tu kwa hisia
Mimi nimepata idadi hii kutoka kwa kiongozi mmoja wa utumishi ambaye ndiye bosi wa taasisi zote.
Namba 2 sawa lakini NIDA umewaonea1..Nida
2..Bodi ya maziwa
Kweli kabisa.Wastani wa mikoa ya kusini Lindi , mtwara wa kunywa maziwa ni kijiko kimoja (1) kwa mwaka.
Research ilifanyika mwaka 2015 ivi
Pole mkuu, ila saivi umepata kitengo ,Mambo yamekua supaKweli kabisa.
Mimi mkazi wa Lindi maziwa nimeyajua ukubwani
Sasa ikulu ifutwe raisi akaishi udom?IKULU
kwani nchi zote zina ma Rais ?Sasa ikulu ifutwe raisi akaishi udom?