Taja Taasisi ya Serikali ya Tanzania ambayo ilipaswa ifutwe mara 1 bila majadiliano ya Bunge

Taja Taasisi ya Serikali ya Tanzania ambayo ilipaswa ifutwe mara 1 bila majadiliano ya Bunge

Ndugu acha kubisha vitu tu kwa hisia
Mimi nimepata idadi hii kutoka kwa kiongozi mmoja wa utumishi ambaye ndiye bosi wa taasisi zote.
  • Hiizo taasisi ni nyingi mno, wakiamua kufanya kazi itakuwa kama machinga wa mtaa wa Kongo.
  • Kuna haja ya kufanya mapitio ili kupunguza mzigo wa kuzihudumia.
  • Yaani kuna taasisi hazijulikani mjini wala vijijini, Ila zipo na watu wanavuta per diem
 
NAFCO
TANESCO
TEMESA
UWT
BODI YA PAMBA
BODI YA NYAMA
BODI YA TUMBAKU
BODI YA KOROSHO
NIDA ibadilishwe iingizwe kwenda RITA
TFS WAKALA WA MISITU WAPEWE TANAPA JESHI LA UHIFADHI TANZANIA
TAESA
BODI YA MIKOPO IPELEKWE OFISI YA RAIS
bodi ya michezo ya bahati nasibu
BASATA ipelekwe idara ya utamaduni
 
Back
Top Bottom