Taja tabia yako/mazoea yako fulani hivi ambayo huyapendi na unasumbuka kuiacha/kuyaacha please don't be shy someone might give you a solution here

Kuna tofauti kubwa ya ukali na kiburi au kinyongo, mimi nikikukoromea na a hasira zikiisha tunacheka, wewe sasa ndio tatizo unapaswa uombe sana ubadilike[emoji23]
Sasa wewe unakuja kubadilika wakati ushasababisha mabalaa bora mwenzako napambana na moyo wangu, sikoromei watu kimbilio langu ni machozi[emoji23]
 
Self-image
 
Mvumilivu sana ila nikifika kikomo nakuwa mbaya mno, nachukia vibaya na hasira zisizofutika kirahisi, mnaita kinyongo (najirekebisha lakini), ukali na mwenye maamuzi magumu imefikia hatua wanasema sifanani kbs na maamuzi yangu naonekana lege lege mwenye aibu ila ikifika muda wa kufanya maamuzi hata vidume vinakaa kando, hii nayo siipendi sana
 
🤣🤣🤣🤣 Sisi team stress free,
Mpenzi wangu nikimwambia sikutaki tuachane, huwa haamini anajua niko kwenye utani.

Dada wa kazi kashanigeuza shogaake, likitokea jambo nyumbani atanipigia simu anaona km nitachelewa. Yani haniogopi kabisa eti, “Dada nna ubuyu umenikaba” 🤣🤣🤣🤣
 
Kama nakufahamu sana tu au kama [emoji723] yako ni jina lako halisi basi una pacha wako sehemu huku ila yeye ni mluguru
 
Sasa wewe unakuja kubadilika wakati ushasababisha mabalaa bora mwenzako napambana na moyo wangu, sikoromei watu kimbilio langu ni machozi[emoji23]
Unavyonijua nikikoroma huwa kuna mtu anasimama mbele yangu!!!

Sema tu ukweli
 
Namsemea huyo huyo. Ubadilike na wewe mana sio kwa ule mtawanyiko.
Hahaha halafu nikijawa na hasira nahisi nguvu ya ajabu ndani yangu.

Nikimaliza kukoroma najichukia, huwezi amini wale wa Dom wamenipiga chapa hadi leo😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…