Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
🤣🤣🤣Kama tupo kwenye utani sawa natuma kiutani utani...
Namba ni ile ile au ushabadilisha mtani..😂😂😂🤓🤓
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Kama tupo kwenye utani sawa natuma kiutani utani...
Namba ni ile ile au ushabadilisha mtani..😂😂😂🤓🤓
Kama bandiko linavyojieleza sisi km binadamu tunatabia binafsi au mazoea fulani ambayo sisi wenyewe hatupendezewi nayo sasa huu uzi ni wa kila mtu kutaja tabia au mazoea yk ambayo unatamani uachane nayo ila imekuwa ngumu sana.
Tafadhali kuwa muwazi huwezi jua ukasaidiwa kupitia hapahapa jamii forum
Nianze na mm mimi, 'ninatabia fulani ya kukaa upweke yaani muda mwingi natamani kuwa peke yangu peke yangu mahusiano yangu mengi yanafeli sababu ya hii tabia yangu sijui itaachana nayo vipi'...?
ndo vizuri huwezi kosa mchumbaSipendi hii tabia ya huku duniani kuwa charming…muda mwingi nakuwa happier.. ikitokea siku nakuwa busy + kimya na mambo yangu wanaonizunguka wanaanza kuuliza ninawaza nn? Nani kanikwaza… wanajua napenda Fanta 🤣 basi wanaanza kusema waninunulie fanta.
mmh unaniogopeshanaweza Hata kukurushia kitu ukaumia baadae ndio nitajutia😒
ndo vizuri inakua rahisi kuzoeana na watuUtani na masihara, mtu anaweza kunitongoza asijue km nimemkubali au nimemkataa. Nishatukanwa na men wengi baada ya kugundua simaanishi kile nilichowakubalia 🤣🤣🤣🤣
Niko hivo sipendi kununa, unaweza kukasirika me nikawa nacheka SITUNZI HASIRA
Huo Sasa ndio Ujogoo Mbegu [emoji106]Kupenda mabinti wadogo wadogo wenye makalio m binuko daaaaah
Binafsi npo age 30s [emoji38]
Ndiomana unanitania km bibi yako 😂😂ndo vizuri inakua rahisi kuzoeana na watu
Madada wa kazi aisee. Sijui ntaachaje hili suala 😂Kama bandiko linavyojieleza sisi km binadamu tunatabia binafsi au mazoea fulani ambayo sisi wenyewe hatupendezewi nayo sasa huu uzi ni wa kila mtu kutaja tabia au mazoea yk ambayo unatamani uachane nayo ila imekuwa ngumu sana.
Tafadhali kuwa muwazi huwezi jua ukasaidiwa kupitia hapahapa jamii forum
Nianze na mm mimi, 'ninatabia fulani ya kukaa upweke yaani muda mwingi natamani kuwa peke yangu peke yangu mahusiano yangu mengi yanafeli sababu ya hii tabia yangu sijui itaachana nayo vipi'...?
cheupe dawa AKA burna boy wa mchongo😆Ndiomana unanitania km bibi yako 😂😂
Punguza kisusio na nyama mkuu🤣Ukali uliopitiliza.
To be honest mimi ni MKALI hadi najiogopa.
Ninapokasirika hakuna mtu huwa na nguvu mbele yangu.
Ni vigumu sana kunikasirisha au kuniona nimekasirika katika maisha halisi.
Lakini nikikasirika huwa hapatoshi.
Hasira zimenitia hasara kadhaa but nashindwa kuziacha.
Eee Mungu nisaidie mimi
Huyu ni mimi haswaTabia yangu nikumuahidi mtu jambo nisiloweza kulitimiza,tena naweza kumuahidi kwakusisitizi hii tabia imekuwa sugu mno saana kwangu
Huwa najipanga kuiacha lakini najipata nashindwa kabisa
kitu ambacho najuwa kabisa siwezi ila naweza nikakuahidi
watu wangu wa karibu wananilakamikia saana kuhusu hii tabia ila kwangu imekuwa ngumu kuiepuka
Kisusio?Punguza kisusio na nyama mkuu🤣