ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
chai ya rangiJF kuna warembo wa maana wenye akili na personality ya kuvutia, Kwakua JF wengi hawaweki picha zao mimi nina wa judge kwa kutumia vigezo hivyo.
na Top 10 yangu ni hii:
1. Sister Abigail
2. ShesRise_1
3. shibela
4. win-one
5. Depal
6. Binti wa zamani
7. Seran
8. Lamomy
9. Leejay49
10. ephen_
Sasa hivi ndio najua kumbe wewe ndio HATA najua basi!! Haya masweta mnayovaa leo kijani, kesho njanoπchai ya rangi
Sijui huwa unafikiria nini kijana nikifuatilia threads zako ππ
Una vibe za mtu mcheshi kupitiliza, π
Au labda kuna kitu unapitia something complicated π₯Ή
kama ni kweli basi polee, lakini usifiche sana kuq muwazi unaweza kusaidika bro π
But for real you're too fun π
Sasa nikusanue hizi IDs za swaga zisikushtue bhana usikute tuna makende kama alivyosema @Lamony
Lakini usijali chukua maua yako πΉπΉ
hahah hadi umenihurumia sio.. wengine wameniambia ni tatizo la afya ya akili, mimi mtaani ni mpole sana ujanja wote unaishia mtandaoni πchai ya rangi
Sijui huwa unafikiria nini kijana nikifuatilia threads zako ππ
Una vibe za mtu mcheshi kupitiliza, π
Au labda kuna kitu unapitia something complicated π₯Ή
kama ni kweli basi polee, lakini usifiche sana kuq muwazi unaweza kusaidika bro π
But for real you're too fun π
Sasa nikusanue hizi IDs za swaga zisikushtue bhana usikute tuna makende kama alivyosema Lamomy
Lakini usijali chukua maua yako πΉπΉ
Nyege tu zinakusumbua mkuuJF kuna warembo wa maana wenye akili na personality ya kuvutia, Kwakua JF wengi hawaweki picha zao mimi nina wa judge kwa kutumia vigezo hivyo.
na Top 10 yangu ni hii:
1. Sister Abigail
2. ShesRise_1
3. shibela
4. win-one
5. Depal
6. Binti wa zamani
7. Seran
8. Lamomy
9. Leejay49
10. ephen_
labda... lakini warembo wa mitandaoni mimi sijawai kumfata yeyote pm kwakweliNyege tu zinakusumbua mkuu
Babu jana si tumechat sana kwenye uzi ule unataka kusema ulikua hujanijuaπSasa hivi ndio najua kumbe wewe ndio HATA najua basi!! Haya masweta mnayovaa leo kijani, kesho njanoπ
Ukipigwa mawe mpaka ufe hatukuziki!GENTAMYCINE, na Minjingu Jingu nao ndani!
Nimecha ku complicate mambohahah hadi umenihurumia sio.. wengine wameniambia ni tatizo la afya ya akili, mimi mtaani ni mpole sana ujanja wote unaishia mtandaoni π
acha mambo yakoo weweeeelabda... lakini warembo wa mitandaoni mimi sijawai kumfata yeyote pm kwakweli
Mwenetu hajui kama tumevaa pin na rubber band πΉπΉπΉOyaaaπ₯Ήπ₯Ήπ₯Ήπ₯Ήπ₯Ή
Vipi kwaniπ€£
Dogo fanya uowe usije ukabaka Kuku wa jirani.
ndo nipo nafanya mchakato maana hata nyumbani wameniambia nioeDogo fanya uowe usije ukabaka Kuku wa jirani.
ndo nipo nafanya mchakato maana hata nyumbani wameniambia nioe
πKuna mwanaume atawekwa kwenye list hapo kwa kudhaniwa ni mwanamke.!!
Chocolate colour mixture mtanga Tanga!! ngozi laini nyororo.Aliyesifia anazo picha adondoshe πΉπΉ
kwakweli natarajia kustaafu ili kuwaachia wengine waendelee na majukumu ya chamaOa dogo CHAPUTA ina umri, kuna umri unatakiwa uachane na uanachama wa CHAPUTA. π