Shida ni huu uzee tu hakuna kingine!! Inabidi ukaguliwe ili mambo yasiwe mengi!Babu jana si tumechat sana kwenye uzi ule unataka kusema ulikua hujanijua😁
Uzee nao unakuonea 😔
Nimecha avatar ili usichanganyikiwe na bado umekubari kuchanganyikiwa😎
Kwa sasa una ujasiri sana Iran kaachia mlango wa hormuz saiv mafuta bweleleeeee hata kama yamepanda bei najua utasongesha uweke full tenkiiiiiiii🏃♂️🏃♂️🏃♂️Shida ni huu uzee tu hakuna kingine!! Inabidi ukaguliwe ili mambo yasiwe mengi!
kwakweli natarajia kustaafu ili kuwaachia wengine waendelee na majukumu ya chama
Uwezo wa full tank hata sina mjukuu ila wese nitaweka ili twende sawa😁Kwa sasa una ujasiri sana Iran kaachia mlango wa hormuz saiv mafuta bweleleeeee hata kama yamepanda bei najua utasongesha uweke full tenkiiiiiiii🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Saafi🫰Uwezo wa full tank hata sina mjukuu ila wese nitaweka ili twende sawa😁
Wivu?Labda chuo cha punheto
Nilifanya kosa Kubwa sana kumuingilia NYUMA aliyekuzaa.GENTAMYCINE, na Minjingu Jingu nao ndani!
😀😀😀Wewe mbona hujiweki!
❤️🥰Kuna huyu binti kiziwi
miaka 32 bado haujafikia stage ya kuwa Binti wa zamani wewe bado mbichi sana❤️🥰
Ila hili jina nataka kubadili 😅 kuna binti wa miaka 32 kweli? Nijiite mwanamke kiziwi 🤣
Chinno wangu 😘💋Chocolate colour mixture mtanga Tanga!! ngozi laini nyororo.
Anaekaribia kidogo ni dada angu mnywani.
JF kuna warembo wa maana wenye akili na personality ya kuvutia, Kwakua JF wengi hawaweki picha zao mimi nina wa judge kwa kutumia vigezo hivyo.
na Top 10 yangu ni hii:
1. Sister Abigail
2. ShesRise_1
3. shibela
4. win-one
5. Depal
6. Binti wa zamani
7. Seran
8. Lamomy
9. Leejay49
10. ephen_
nimemuona huyu nikakumbuka kuna pisi anaitwa Naxria abdalla
Huu Uzi bila To yeye ni batiliJF kuna warembo wa maana wenye akili na personality ya kuvutia, Kwakua JF wengi hawaweki picha zao mimi nina wa judge kwa kutumia vigezo hivyo.
na Top 10 yangu ni hii:
1. Sister Abigail
2. ShesRise_1
3. shibela
4. win-one
5. Depal
6. Binti wa zamani
7. Seran
8. Lamomy
9. Leejay49
10. ephen_
Popoma au?!Kuna mwanaume atawekwa kwenye list hapo kwa kudhaniwa ni mwanamke.!!
We bado binti. Huku kanisani kwetu tunakuita kiwawa❤️🥰
Ila hili jina nataka kubadili 😅 kuna binti wa miaka 32 kweli? Nijiite mwanamke kiziwi 🤣
Poa mkuuHulda-Tamarri mambo...