Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
MatuseNimekumbuka mbalii
Ile ya makatuku yale matonses yanavimba mashavuni ,walisema unatafunia bisi kwenye tundu la choo
Au unaenda kutega hela njiapanda,unatemea na mate..Ukiondoka hapo usigeuke nyuma.
Mama masimbi....... mnadunga mtu akifusaUkitaka kupona kijipu uchungu jichoni katazame tundu la choo ambacho hujawahi tumia(aisee,harufu zilitunyoosha)
Watu wa zamani walikuwa na uwanga fulaniNimekumbuka mbalii
Ile ya makatuku yale matonses yanavimba mashavuni ,walisema unatafunia bisi kwenye tundu la choo
Au unaenda kutega hela njiapanda,unatemea na mate..Ukiondoka hapo usigeuke nyuma.
.Nikafikiria haya marungu ya vijana, yanayopakwa vumbi la Congo 🇨🇩
Ukiweka sindano relini treni itapinduka
Kwa kweli😂wa mjini huyu
Duh[emoji23]Eti mtu akifa anazaliwa tena
AiseeMuhamad alikuwa mtu mwema kuliko wote duniani
AiseeKinyonga akikudondokea, anakuganda hadi shangazi yako aje kumtoa
Kweli kabisa, ni ishara ya kuwa maeneo jirani na hapo kuna chatu.Ukiskia harufu ya wali alafu uko porini ujue nyokaa yupo maeneo,hv ni kwel?
AiseeMungu anakaa kwenye mbalamwezi