Tajiri Sina BAYA nimefilisika kwa sasa ni kijana Masikini kama zamani

Tajiri Sina BAYA nimefilisika kwa sasa ni kijana Masikini kama zamani

Muimba SINGELI

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
4,211
Reaction score
10,864
Ilikuwa ni taarifa tu nisiwachoshe wapambanaji, endeleeni na Threads za msingi zenye mustakabali wa kulijenga taifa letu.
Niwatakie jioni njema.

Screenshot_20250621_200325.jpg


dosho12
Harmful
Mama Ndege
Intelligent businessman
 
Kweli tajiri bahili, baada ya kuona Marry Diana kaanza kumtaka akaona Cha kufia nini 😂😂
Hapana mkuu baada ya mapenzi kunitesa niligeukia sana pombe ndiyo sababu nimefikia huku. Nomba unikaribishe tena kwenye chama Cha majobless kama kuna fidia ya kulipia nitajichanga nitalipa.
 
Back
Top Bottom