Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
- Thread starter
- #81
Sawa mkuuSijacheka mkuu nimesikitika nikakosa cha kufanya.
Sawa mkuuSijacheka mkuu nimesikitika nikakosa cha kufanya.
Na kahaba marry nani sijuiNaweza kusema hakuna nimepuputiswa vibaya mno.
Misha ni mapambano tu mkuu 😎Sawa mkuu
Hapana mkuu, halafu sio vizuri kumwita kahaba wakati hajajitangaza kwamba anauza mwili.Na kahaba marry nani sijui
Sahihi 💪💪💪Misha ni mapambano tu mkuu 😎
Samahani kijana,ukaniombee msamahaHapana mkuu, halafu sio vizuri kumwita kahaba wakati hajajitangaza kwamba anauza mwili.
Ikiwa unaguswa na hilo utamwomba, mimi nimetoa hiyo kauli kwa namna ambavyo limenigusa.Samahani kijana,ukaniombee msamaha
💪Sahihi 💪💪💪
Unajua maana ya kuguswa?,naguswa na hilo,linini? Unantusi kijana, ntakuzawadia laana humuhumu jfIkiwa unaguswa na hilo utamwomba, mimi nimetoa hiyo kauli kwa namna ambavyo limenigusa.
😄😄😄 nisaheme mkuu kama umetafasiri ni tusi.Unajua maana ya kuguswa?,naguswa na hilo,linini? Unantusi kijana
Ndiyo hao hao kumbe unawafwahamu😂😂😂 ningekuwa gender yenu ningejiita Anko Tau ndio wale wa
Hisabaati hisabati hisabati yeaee aeaee
Hisabati ni mikakati yetu...
Sawa, isiwe kesi ID ya “mshangazi” itarudiAmebaki Mama Ndege arudie ubinti sayuni
Binti wa zamani arudi kuwa mshangazi dot com
Mtunza siri zako arudie Nesi kungwi