Tajiri Sina BAYA nimefilisika kwa sasa ni kijana Masikini kama zamani

Tajiri Sina BAYA nimefilisika kwa sasa ni kijana Masikini kama zamani

Ila badili jina hili limekaa kinyonge mno chagua jina lingine la kawaida unaona kama mimi Dosho kuna mtu atajua mi jobless pro max 😁😁
Ni miezi mitatu tena mbele ndiyo nitaruhusiwa kubadili, hii yenyewe niliandikiwa siwezi kubadili hadi July 21, sasa nikawa najaribu tu naona ngoma imekaa, basi waswahili husema👇
downloadfile-287.jpg
 
Back
Top Bottom