Tajiri Sina BAYA nimefilisika kwa sasa ni kijana Masikini kama zamani

Kweli tajiri bahili, baada ya kuona Marry Diana kaanza kumtaka akaona Cha kufia nini 😂😂
Hapana mkuu baada ya mapenzi kunitesa niligeukia sana pombe ndiyo sababu nimefikia huku. Nomba unikaribishe tena kwenye chama Cha majobless kama kuna fidia ya kulipia nitajichanga nitalipa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…