Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Namkumbusha asiache mbachao kwa msala upitaoMimi kama raisi wa Chama Cha ma jobless pro max, nina kukaribisha tena chamani licha ya matusi na kejeli zako.
Kumbuka kitenge Cha kuazima, haki funiki matako daima.
dosho12, min -me, Selikavu, Monetary doctor, Edo kissy na baba watatu Razorblade
Pamoja sana mkuu nitajitahidi sana kuuepuka uchawa.Karibu mtaani uje na akili zako lasivyo utaishi kuwa chawa
utabiri na utajiri vimeondoa kwa pamoja.Fanya utabili mkeka wa siasa
Unaogopa watakunaniii kama walivyo mnanii😂😂😂
utabiri na utajiri vimeondoa kwa pamoja.
Loh! Hatimaye 😂Ilikuwa ni taarifa tu nisiwachoshe wapambanaji, endeleeni na Threads za msingi zenye mustakabali wa kulijenga taifa letu.
Niwatakie jioni njema.
View attachment 3392805
dosho12
Harmful
Mama Ndege
Intelligent businessman
Mkuu sina elimu ya utabiri ile siku nilikuwa na ujasiri tu wa kuandika nilichokidhani na kukiamini.Unaogopa watakunaniii kama walivyo mnanii
Loh! Hatimaye 😂
Kufilisika gani kwa siku moja jamani😎😂Sina uwezo wa lolote tena hapa nasubiri jua lizame nikagongee ugali kwa bimdashi, niombee swahiba.
Umesahau tu kwamba hata ule utajiri niliupata siku moja, wachaga husema Vice versa is yes.Kufilisika gani kwa siku moja jamani😎😂
Mimi najua hili ni jina tu, sema limekukaa poa sana mkuuUmesahau tu kwamba hata ule utajiri niliupata siku moja, wachaga husema Vice versa is yes.
Ila badili jina hili limekaa kinyonge mno chagua jina lingine la kawaida unaona kama mimi Dosho kuna mtu atajua mi jobless pro max 😁😁Umesahau tu kwamba hata ule utajiri niliupata siku moja, wachaga husema Vice versa is yes.
😢😢😢Mimi najua hili ni jina tu, sema limekukaa poa sana mkuu.
Hili hili la KM ndiyo unyama asibadiliIla badili jina hili limekaa kinyonge mno chagua jina lingine la kawaida unaona kama mimi Dosho kuna mtu atajua mi jobless pro max 😁😁
Mkuu unanichekesha ujue😢😢😢
Hili limeniumiza☝️ sana hili limenitesa sana.
Ni miezi mitatu tena mbele ndiyo nitaruhusiwa kubadili, hii yenyewe niliandikiwa siwezi kubadili hadi July 21, sasa nikawa najaribu tu naona ngoma imekaa, basi waswahili husema👇Ila badili jina hili limekaa kinyonge mno chagua jina lingine la kawaida unaona kama mimi Dosho kuna mtu atajua mi jobless pro max 😁😁
Kijana Masikini usifate ushauri wa mama ndege anataka watoto wazuri wakukimbie 😅😅Hili hili la KM ndiyo unyama asibadili
Huyu KM alishasemaga ana demu wake huku hahitaji mademuKijana Masikini usifate ushauri wa mama ndege anataka watoto wazuri wakukimbie 😅😅
Itakuwa Marry D nini 😁😅Huyu KM alishasemaga ana demu wake huku hahitaji mademu