Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

Una ushahidi gan anahonga Sana,
Tatizo hapo naona madai yenu hayana msingi
Yaani wakopaji hawanaga ushahidi zaidi ya kutaka kuonewa huruma.
Wakati wao wanavyokopa hawarudishi hawamuonei huruma aliyewakopesha.
Kuna mmoja mie nimesimama nae mahakamani anadai nimemuambia eti nitamnyoosha, nitamkomoa.
Anasema amenilipa na hana ushahidi wowote.
Nimetoa bank statements na tigostatements za mwaka mzima hakuna miamala yake.
Anabaki kuomba huruma ya hakimu.
Ndo anachokifanya mleta mada.
Anataka aonewe huruma wakati wao hawajamuonea huruma aliyewakopesha na hawajamrudishia hela zake.
Mkopaji anapokuja anadhihirisha ana uwezo wa kulipa na dhamana anaweka.
Lakini akishapewa mkopo tu uwezo wa kulipa hana.
Na wanaanza ushwahili wao oooo hela za majini, hela za uchawi.
 
Yaani hii ni dhulma.
Kuna watu washenzi sana.
 
walikopa kutoka Bank gani?
 
Ninachojua hata kama mliandikishiana mwenye final say ni mahakama maana mikataba mingine ni batili na haitekelezeki mbele ya sheria, nendeni mahakamani good chance mtapata mali zenu back, najua mahakama zetu zina ujinga mwingi lakini kuna mahakimu wengi wazuri tuu wataangalia kesi yako kwa haki, imagine mkataba unasema ukishindwa kulipa deni unauliwa😅 na kweli ukashindwa kulipa unafikiri mahakama itasema uuliwe kwa sababu mkataba mliandikishiana (ni mfano tuu), kuna mikataba mingi sana ya kipuuzi na nje ya sheria nenda mahakamani
 
Inaitwa pesa ya Moto. Mimi Mzee wangu alishanionya SANA kutochukua hela ya Riba kutoka mikononi mwa Mtu yeyote.

Ile hela ina balaa na mikosi na huwezi kuirejesha, na ni kweli huwa wanaitoa kuanzia saa 12 mpaka saa 2 usiku.

Kuna Mzee mmoja Sakina Arusha sasahivi ni Marehemu, yeye alikuwa anakopesha hela halafu ukishindwa kuirejesha kwa wakati anachukua gari...alikuwa na magari mengi mno ameyapaki tu.
 
Ni hivii...nakudondolezea siri :-

Mtaji wa huyu jamaa na wamachame wenzake 6 walipewa na Mama A. Mkp yaani katika awamu ya 3 na huo mtaji ndio ulioanzisha AKIBA COMMERCIAL BANK.

Hata Wamakonde waliwahi kulalamika sana kwamba ndugu yao anajali tu Ukweni na sio nyumbani.
 
alikuwepo jamaa anaitwa kuringe alipoingia magufuli alikimbia kwenda moshi ndio mwenye red stones club huyu p mushi wkt wa magufuli alikuwa kimya alipokufa anapandisha n=magorofa kama matatu kwa pamoja jiwe alikuwa yuko sahihi kuwachukia hawa jamaa
Akafa akawaacha, na kampuni yako iendeleze chuki ife kama jiwe.
 
Hii kariakoo watu wamejisuka
 
sheria ya mabenk inataka shareholders wawe mchanganyiko lkn wachagga wameanzisha bank kama kikao cha ukoo nenda maendeleo bank ya lutheran mashareholders ni asilimia tisini wamachame hii sio fair kabisa

Sio fair kivipi kwani wameweka limit ya makabila[emoji23][emoji23]
 

Mkuu embu njoo na uzi wa hao G7 huwenda ikawa ukawa inspirational kwa wapambanaji
 
Nenda mahakamani.
Over
 
kulikuwa na tatizo la kifamilia tukahitaji mkopo wa fasta na mubaliano achukue baadhi ya fremu ili ajilipe

Hamko serios, yaani tatizo la kifamilia mkope 1b? Hiyo hela lazima ingewashinda kulipa tu maana hiyo mtakuwa mliitumbua kwa bata huku mkiwa mmeweka rehani jengo...!
Hiyo 1b maana yake haikuingia kwenye biashara badala yake mlitatulia tatizo na chenchi mkamwagilia moyo.... mngewezaje kulipa? Msitafute huruma wakati mlikoroga nyie!
 
hans macha kama sio nyumba za wazaramo asingetajirika leo tunaambiwa hatuna akili leo amekuwa shareholder mkubwa crdb kwasababu ya wazaramo lkn tumepata matusi leo sis ni pimbi
Shigongo mkinga,ndomana shigongo aliamua kilibomoa ghorofa awaachie hao wanaomsumbua liuwanjaaa

Ova
 
Kabila la hovyo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…