amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,132
- 31,149
Yaani wakopaji hawanaga ushahidi zaidi ya kutaka kuonewa huruma.Una ushahidi gan anahonga Sana,
Tatizo hapo naona madai yenu hayana msingi
Wakati wao wanavyokopa hawarudishi hawamuonei huruma aliyewakopesha.
Kuna mmoja mie nimesimama nae mahakamani anadai nimemuambia eti nitamnyoosha, nitamkomoa.
Anasema amenilipa na hana ushahidi wowote.
Nimetoa bank statements na tigostatements za mwaka mzima hakuna miamala yake.
Anabaki kuomba huruma ya hakimu.
Ndo anachokifanya mleta mada.
Anataka aonewe huruma wakati wao hawajamuonea huruma aliyewakopesha na hawajamrudishia hela zake.
Mkopaji anapokuja anadhihirisha ana uwezo wa kulipa na dhamana anaweka.
Lakini akishapewa mkopo tu uwezo wa kulipa hana.
Na wanaanza ushwahili wao oooo hela za majini, hela za uchawi.