Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

 

Attachments

  • 68E9513E-2634-490B-9A5C-D6FA67FF51B6.jpeg
    98.2 KB · Views: 46
Haya ni mawazo ya kimasikini.
 
Lda unaidaiwa kias gani na kwa muda gani na kwa sasa Amezuia nini kutoka kwako?
 
KWA WASIO JUA, KUNA UJAMBAZI MKUBWA SANA KATI YA MABENKI PALE WANAPOTAKA KUPIGA MNADA NYUMBA ZAWATEJA WAO,WALIOCHUKUA MIKOPO.
KUNA WALE MADALALI WA MAHAKAMA PALE INAPO AMRIWA NYUMBA ZA WANANDOA, AU MIRATHI KUUZWA NA KUGAWANA.
WANA TENGENEZA MAZINGIRA YA MALI KUUZWA KWA BEI NDOGO.HAPA NDIPO HAYA MAJAMBAZI YANAPO INGIA NA KUNUNUA KISHA KUMILIKI MALI NYINGI KWA NJIA HII.
NA KWA AWAMU HII, WENGI WATAUMIZWA!
KAA MBALI NA MIKOPO YA MABENKI, ACHA KUWEKA DHAMANA KUPITIA HATI ZA NYUMBA AU LESENI ZA MAKAZI
NI HABARI NDEFU
 
Haya ni mawazo ya kimasikini.
Sio umasikini,mawazo makubwa ambayo tafakari yake huwezi kuwa nayo katu katu katu, Abadan.hivi unajua mwaka 1850 kulikuwa na watu kama wewe wengi tu,wakifanya shughuli zao,kula kunywa,kucheza mziki na vyote.wakikaa kwenye majumba makubwa Kwa wakati huo waliyaona ndiyo ya kisasa, Generation changes bro,hicho ukionacho kizuri baada ya few days kitakuwa hakifai tena..
Sorry deep attitude!
 
Duhhhhhhhh.... balaa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Bank mchakato mrefusana hadi pesa iive
Mchakato mrefu kwa wafanyakazi sio wafanyabiashara hao walitakiwa wawe na frem moja ya familia kwa ajili ya kukopea kama watahitaji pesa na pia Kkoo unawezz kuwa na fremu tuu bidhaa zote watu wanakuletea wewe ni kuhangaikia leseni na TRA tuu na wengi wamesimama kwa mfumo huu...
 
Hao akina Mushi wanowalaum then Kila siku wanaoenda kwao kuomba mikopo.
Hakuna mtunzi mzuri WA uongo kama mtu anayedaiwa .
Ndio maana masharti ni .uhimu sana katika mkopo, bila masharti inakua sadaka.
They took that risk let them deal with it
 
Itakuwa yaleyale ya akina Alex Masawe na Pedeshe (PDG) Ndama.

Unakopa pesa kwao halafu dhamana inakuwa nyumba mnawekeana na deadline,muda wa kulipa ukifika wanakukwepa ili muda upite wachukue nyumba kwa bei ya kashata.
Kwani hakuna benki akaunti uweke hela humo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…