Ni kweli si umeona kwa watoto wa marehemu mzee Mengi wameshindwa kuwa matajiri kama Mo dewji.Leo ndo nimegundua Kwa nini wachaga wakizeeka wanafirisika au wakifa Mali zao ni migogoro mitupu...
Kumbe wanadhulumu watu...
Kwa nini wasiijenge hiyo Moshi yao
Nani atasubutu kukamata tajiri? Hata ukitoa taarifa? Ni bure tu coz hao na ni wezi piaUpo hapa unaimba ”WEZI TU WEZI TU” kwanini usiende kuwakamata au kutoa arifa wakakamatwa?au na wewe ukaibe uwe tajiri kama wao?
Kuwachukia hakukufanyi ufanikiwe tena ndo kutazidi kukufanya uwe maskini.
Hii ni hatari sana mkuu, dahUkiweza kuishi Kariakoo na hela zao za Moto unaishi popote hapo wale wafanyabiashara wadogo wengi wamepotea na nyumba zao wale wakubwa wamebaki kuwa matajiri hapo walikuwepo wanaopiga hesabu kwenye calculator wakipewa hela wanakimbia wakachukue kipodozi,Chocolate,Pombe au Apple SA ni biashara ya haraka sana ikifika sokoni tena walikua wanapewa hela za 40ft leo hawapo wale jamaa wamewapoteza wengine biashara ya kipodozi cha Drc Kongo wakiona mteja anaweza kulipa riba na hela wao ndio wanachomesha Polisi au TRA ili ukamatwe na hiyo mali watauziwa wao kwa bei pungufu maana mtu kakopa 300m anampa taarifa zote mdau akiamini ni ndugu yake kumbe Nyoka tuu..hapo Kkoo hata utake usd 2m usiku haraka unaipata ila jua hautaweza kuirudisha mpaka unaenda Motoni...
Wanaonyeshana umwamba kwenye kutunzana[emoji28][emoji23][emoji23] namlaumu baba yangu sana kutokua na interest na kkoo. Ningekua na ghorofa na mm jaman kama ndugu zangu wengine. Nitafutieni ghorofa jaman na mimi. Nawakubali sana wakibosho kwenye mapambano.Pesa zao nyingi zinaenda kwenye mashuguli mara harusi ya mtoto wa fulani,mara sijuwi kuna ngoma inakesha....
Mara sijuwi kuna ngoma ya kumtoa mtoto
Ova
Wala usifungwe,muache tuNa support.. huu uzi ufungwe.. mtoa mada naona anafanya attacks kwa jambo ambalo lipo wazi.
ivi nikienda kuomba kazi pale valentino naweza kupataMassawe Tumbo kashaiuza hiyo hotel kabla ya kuhamishia maisha yake ya kiutafutaji SA
Aisee kweli, ila yupo mmoja hivi na nikabila hilohilo, Bwana mmoja akiwa ameoa wake wawili kafa na kuacha mali kibao yakiwemo mashamba ,majumba ,magari, n.k ila yapo mashamba mawili yale hata kwenye Miradhi hayakuepo, yaliwekwa KWa ajili ya mjomba wake aliemlea akiwa mdogo baada ya mama yake kufa, TangaWengi wanamadawa hao hizo Dili alikuwa nao Babu Sombeki wa Pale Moshi. Hata akikukopesha shilingi 1000 hutaweza rudisha hadi achukue Mali zako. Mungu atusaidie kwa kweli.
hahaha,Sawa kabisa kesho asubuhi nitakula mamaya na chai.
mbona boss, star x na evol wanauza?biashara ya eletronics k/koo wameidominate hawataki kabila lingine kabisa na ukingia wanakufanyia vitina unavilisika
mr uk ==mushi
lampard electronics =frank mushi
homebase =ford shiyo
bravo eletronics mtoto wa mwlimu rafaeli
rising eletronics ==alyoce kimbori
sean biano = mallya
mashariki power na good vision = chuwa
g star eletronics massawe
singsung ===mkibosho nk nk
bruhm ==alyoce shayo
Inaweza kuwa ndo Yule mwenye ghorofa mitaa ya nunge Dodoma kipindi cha jiwe lilistop kujengwa saivi naona wanaliendeleza kimtindoalikuwepo jamaa anaitwa kuringe alipoingia magufuli alikimbia kwenda moshi ndio mwenye red stones club huyu p mushi wkt wa magufuli alikuwa kimya alipokufa anapandisha n=magorofa kama matatu kwa pamoja jiwe alikuwa yuko sahihi kuwachukia hawa jamaa
pale mwenge stand lile gorofa lenye saloon nyingi na bango la bia juuna na jumba za karibu kama tatu zenye saloon zote pia katapeli mkuu hapo lion hotel sinza ameshamliza mtaa mzima
kwenye eletronics kama wewe si mkibosho uwezi kufanya hio biashara kwanzia tiptop mpaka mbagala wameweka wadogo zao mkuuhahaha,
mbona boss, star x na evol wanauza?
Survive of the fittest..Nmekuelewa mkuu na ukianza kula nyama ya mtu huaaachi..
kila siku hizzz kiko wazi download individual shareholders wa akiba bank au wa maendeleo bank ile saccos ya mnama pale darajani walitaka kuisajili iwe bank makapa akawakatalia kwasababu wote wachagga mkuuHakuna mtu anayeshindikana na serikali bruh
Umetumia kikokotoo gani kupata asilimia 90.9 😆 eti wote ni wachaga kinyume na sheria
Wanakuja kutia huruma wakati kazi zao ni kukata viuno..maisha ya utafutaji ni serious business.Jamaa una hasira kweli ila nimecheka sana kwa hii comment yako.
Pole sana..naona unaumia sana wachaga wakiendelea kutengeneza hela..endelea hivyo hivyo kutia huruma huku majamaa yakitajirika na kudominate k.koo.massawe tumbo anajenga gorofa kwenye kiwanja cha mjane likoma na masasi bila ruhusa ya mahakama na fremu zote zmeshakuliwa bila nyumba kuisha halafu usema unajua kutafuta
alemuzia emma nyumba alimuambia akijenga gorofa asiweke bar na kamari lkn kawapangisha cleoptra casino na galsport
kabla wachagga k/koo walikuwa wanaishi wastraabu hakuna bar wala makari lkn nyumba zao zote zin bar na kamari bar ya kwanza ilijegwa na mchagga hugo kisima mtaaa livingstone zikikaja frontline bar new vunjo nk nk na sasa emmma ndio dealer wa bia na pombe kali wilaya yote ya ilala na fursa hii wameitumia baada ya wapemba na waarabu kukataa makubuni ya betting kupangisha nyumba zao so ya makapuni ya na tafuta nyumba za wachagga kkoo
Hujielewi, Masawe anajenga nyumba ile kwa mkataba alioingia na huyo mama.Kwanza unaweza kujua nyumba ya kwanza Massawe Tumbo aliyoanzia umafia wake???.Halafu aliemuuzia Imma nyumba hana mamlaka ya kumtaka mnunuzi nini cha kufanya,angetaka hayo angemkubalia SSB kununua maana nae aliitaka ili aunganishe na ile nyumba yake ya Msimbazi aliyoinunua kwa Jairos Bidiyanguze pmj na ile nyumba ya pembeni ya mbokomu.Pia utambue kuwa Hugo hana nyumba mtaa wa Aggrey,bar yake hiyo unayoisema ipo mtaa wa mchikichimassawe tumbo anajenga gorofa kwenye kiwanja cha mjane likoma na masasi bila ruhusa ya mahakama na fremu zote zmeshakuliwa bila nyumba kuisha halafu usema unajua kutafuta
alemuzia emma nyumba alimuambia akijenga gorofa asiweke bar na kamari lkn kawapangisha cleoptra casino na galsport
kabla wachagga k/koo walikuwa wanaishi wastraabu hakuna bar wala makari lkn nyumba zao zote zin bar na kamari bar ya kwanza ilijegwa na mchagga hugo kisima mtaaa livingstone zikikaja frontline bar new vunjo nk nk na sasa emmma ndio dealer wa bia na pombe kali wilaya yote ya ilala na fursa hii wameitumia baada ya wapemba na waarabu kukataa makubuni ya betting kupangisha nyumba zao so ya makapuni ya na tafuta nyumba za wachagga kkoo
Unaulizwa vingine unajibu vingine ndo mana mmenyanganywajuzi waziri wa fedha mwingulu nchemba kawaita wafanyabiasha wote wa kichagga waliopo k/koo usiku serena na kuwaimbia mama yupo pamoja naa hukuna sehem hatujaenda lkn hatusikilizwi cha ajabu mpaka tra wanamkingia kifua kwasababu nyumba zake nyingi kuna branch za benk na juu kafanya magodown wkt sheria hairusuu kuweka godonwn ktk ya mji