Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

Leo ndo nimegundua Kwa nini wachaga wakizeeka wanafirisika au wakifa Mali zao ni migogoro mitupu...

Kumbe wanadhulumu watu...


Kwa nini wasiijenge hiyo Moshi yao
Ni kweli si umeona kwa watoto wa marehemu mzee Mengi wameshindwa kuwa matajiri kama Mo dewji.
 
Upo hapa unaimba ”WEZI TU WEZI TU” kwanini usiende kuwakamata au kutoa arifa wakakamatwa?au na wewe ukaibe uwe tajiri kama wao?

Kuwachukia hakukufanyi ufanikiwe tena ndo kutazidi kukufanya uwe maskini.
Nani atasubutu kukamata tajiri? Hata ukitoa taarifa? Ni bure tu coz hao na ni wezi pia
Kila mmoja mwizi
 
Ukiweza kuishi Kariakoo na hela zao za Moto unaishi popote hapo wale wafanyabiashara wadogo wengi wamepotea na nyumba zao wale wakubwa wamebaki kuwa matajiri hapo walikuwepo wanaopiga hesabu kwenye calculator wakipewa hela wanakimbia wakachukue kipodozi,Chocolate,Pombe au Apple SA ni biashara ya haraka sana ikifika sokoni tena walikua wanapewa hela za 40ft leo hawapo wale jamaa wamewapoteza wengine biashara ya kipodozi cha Drc Kongo wakiona mteja anaweza kulipa riba na hela wao ndio wanachomesha Polisi au TRA ili ukamatwe na hiyo mali watauziwa wao kwa bei pungufu maana mtu kakopa 300m anampa taarifa zote mdau akiamini ni ndugu yake kumbe Nyoka tuu..hapo Kkoo hata utake usd 2m usiku haraka unaipata ila jua hautaweza kuirudisha mpaka unaenda Motoni...
Hii ni hatari sana mkuu, dah
 
Pesa zao nyingi zinaenda kwenye mashuguli mara harusi ya mtoto wa fulani,mara sijuwi kuna ngoma inakesha....
Mara sijuwi kuna ngoma ya kumtoa mtoto

Ova
Wanaonyeshana umwamba kwenye kutunzana[emoji28][emoji23][emoji23] namlaumu baba yangu sana kutokua na interest na kkoo. Ningekua na ghorofa na mm jaman kama ndugu zangu wengine. Nitafutieni ghorofa jaman na mimi. Nawakubali sana wakibosho kwenye mapambano.
 
Kama umeweka bond kitu chako ukashindwa kukigomboa kwa nini kisichukuliwe kufidia...
 
Wengi wanamadawa hao hizo Dili alikuwa nao Babu Sombeki wa Pale Moshi. Hata akikukopesha shilingi 1000 hutaweza rudisha hadi achukue Mali zako. Mungu atusaidie kwa kweli.
Aisee kweli, ila yupo mmoja hivi na nikabila hilohilo, Bwana mmoja akiwa ameoa wake wawili kafa na kuacha mali kibao yakiwemo mashamba ,majumba ,magari, n.k ila yapo mashamba mawili yale hata kwenye Miradhi hayakuepo, yaliwekwa KWa ajili ya mjomba wake aliemlea akiwa mdogo baada ya mama yake kufa, Tanga

Huyu bwana wa kabila hili alikua rafiki wa karibu wa marehem, so baada ya kifo Cha rafiki yake akajisogezea mke mdogo, na huyu ndo alikua na document nyingi za mali ya marehem , akafanya alivyojua familia ikaja jikuta mali zote zimeangukia kwenye mikono ya Mangi

Mwaka flani nikawa Tanga mjomba mtu tukakutanishwa katika harakati za kutafuta shamba Kama eka 20 hivi , jamaa akasema lipo , siku nikaenda kukagua kweli ni zuri, kuanzia udongo , tukapatana bei ,nikamlipa KWa kufuata taratibu zote,

Kama miezi miwili Mangi anajitokeza Kua nalo shamba lao, vitisho kibao, ila uzuri muuzaji yupo, Sasa tokana na vitisho alivyokuja navyo kwangu, na KWa kua nilishaelezwa A-Z ,nilimwambia ukweli, kwamba Sasa naomba tubambane maana shamba nimeisha nunua, na muuzaji atakua shahid YANGU tu ,asisumbuliwe, ila Mimi na wewe na pesa zako tupambane KWa namna yoyote anataka,

Jamaa alitoa povu ,Mara yeye ndo mwenye Tanga , Mara nini, akasema ananipa mwezi mmoja niwe nimedai pesa KWa elieniuzia vinginevyo yatanikuta,

Nami nikamwambia nakupa wiki MOJA utakuja nipigia magoti Hapa, Kama utani hivi, rafiki wakasema niachane na shamba jamaa, sio mzuri hasa kwenye Mambo ya giza, nikawambia nataka nimuone jeuri yake mpaka mwisho, shamba nimeisha nunua sirudishi shamba maana ni utapeli anataka fanya,

Siku sita zikakata huku msg za vitisho vya KILA aina , Mie Kimia,

Siku tisa anatokea lushoto kapiga Mueleka wa Adabu, miguu yote vunjika vunjika, sijui alikua anatoka kufanya nini, badae mwili naambiwa ukaanza umuka Kama mpira hapo Bombo hosp,na ukweli sikumfanyia lolote la kishirikina

Sasa wapambe wakawa wanazileta kwangu nami nakazia kwamba ataondoka si nilimpa siku 7 atakuja niomba msamaa,


Wiki ya pili ndugu zake wananitafuta ,kwamba kawatuma Mambo ya shamba yaishe na angependa nikaonane naye hospital , Wala sikwenda , ila niliwambia mwambie yameisha, alikuja kupona but with much respect to me , mpaka leo shamba lipo ,

Note ,Dhuluma sio nzuri, Kama mtu alikopa bil 1 ,KWa jengo la gharama ya bil 10 au na kuzidi, kwanini basi msikubaliane hata KWa kuliuza upate Chako na KINGINE apewe, haya ni maisha ya kupiga,

Utakua nyumba 100,200 ila utazikwa nazo ? Na je unafikili utaweza fikia miaka mia ukiwa hai ,KWa maisha ya Sasa lazima utakua umefukiwa, tuache tamaa
 
Sawa kabisa kesho asubuhi nitakula mamaya na chai.
hahaha,
biashara ya eletronics k/koo wameidominate hawataki kabila lingine kabisa na ukingia wanakufanyia vitina unavilisika
mr uk ==mushi
lampard electronics =frank mushi
homebase =ford shiyo
bravo eletronics mtoto wa mwlimu rafaeli
rising eletronics ==alyoce kimbori
sean biano = mallya
mashariki power na good vision = chuwa
g star eletronics massawe
singsung ===mkibosho nk nk
bruhm ==alyoce shayo
mbona boss, star x na evol wanauza?
 
alikuwepo jamaa anaitwa kuringe alipoingia magufuli alikimbia kwenda moshi ndio mwenye red stones club huyu p mushi wkt wa magufuli alikuwa kimya alipokufa anapandisha n=magorofa kama matatu kwa pamoja jiwe alikuwa yuko sahihi kuwachukia hawa jamaa
Inaweza kuwa ndo Yule mwenye ghorofa mitaa ya nunge Dodoma kipindi cha jiwe lilistop kujengwa saivi naona wanaliendeleza kimtindo
 
Hakuna mtu anayeshindikana na serikali bruh
Umetumia kikokotoo gani kupata asilimia 90.9 😆 eti wote ni wachaga kinyume na sheria
kila siku hizzz kiko wazi download individual shareholders wa akiba bank au wa maendeleo bank ile saccos ya mnama pale darajani walitaka kuisajili iwe bank makapa akawakatalia kwasababu wote wachagga mkuu
 
massawe tumbo anajenga gorofa kwenye kiwanja cha mjane likoma na masasi bila ruhusa ya mahakama na fremu zote zmeshakuliwa bila nyumba kuisha halafu usema unajua kutafuta
alemuzia emma nyumba alimuambia akijenga gorofa asiweke bar na kamari lkn kawapangisha cleoptra casino na galsport
kabla wachagga k/koo walikuwa wanaishi wastraabu hakuna bar wala makari lkn nyumba zao zote zin bar na kamari bar ya kwanza ilijegwa na mchagga hugo kisima mtaaa livingstone zikikaja frontline bar new vunjo nk nk na sasa emmma ndio dealer wa bia na pombe kali wilaya yote ya ilala na fursa hii wameitumia baada ya wapemba na waarabu kukataa makubuni ya betting kupangisha nyumba zao so ya makapuni ya na tafuta nyumba za wachagga kkoo
Pole sana..naona unaumia sana wachaga wakiendelea kutengeneza hela..endelea hivyo hivyo kutia huruma huku majamaa yakitajirika na kudominate k.koo.

#MaendeleoHayanaChama
 
massawe tumbo anajenga gorofa kwenye kiwanja cha mjane likoma na masasi bila ruhusa ya mahakama na fremu zote zmeshakuliwa bila nyumba kuisha halafu usema unajua kutafuta
alemuzia emma nyumba alimuambia akijenga gorofa asiweke bar na kamari lkn kawapangisha cleoptra casino na galsport
kabla wachagga k/koo walikuwa wanaishi wastraabu hakuna bar wala makari lkn nyumba zao zote zin bar na kamari bar ya kwanza ilijegwa na mchagga hugo kisima mtaaa livingstone zikikaja frontline bar new vunjo nk nk na sasa emmma ndio dealer wa bia na pombe kali wilaya yote ya ilala na fursa hii wameitumia baada ya wapemba na waarabu kukataa makubuni ya betting kupangisha nyumba zao so ya makapuni ya na tafuta nyumba za wachagga kkoo
Hujielewi, Masawe anajenga nyumba ile kwa mkataba alioingia na huyo mama.Kwanza unaweza kujua nyumba ya kwanza Massawe Tumbo aliyoanzia umafia wake???.Halafu aliemuuzia Imma nyumba hana mamlaka ya kumtaka mnunuzi nini cha kufanya,angetaka hayo angemkubalia SSB kununua maana nae aliitaka ili aunganishe na ile nyumba yake ya Msimbazi aliyoinunua kwa Jairos Bidiyanguze pmj na ile nyumba ya pembeni ya mbokomu.Pia utambue kuwa Hugo hana nyumba mtaa wa Aggrey,bar yake hiyo unayoisema ipo mtaa wa mchikichi
 
juzi waziri wa fedha mwingulu nchemba kawaita wafanyabiasha wote wa kichagga waliopo k/koo usiku serena na kuwaimbia mama yupo pamoja naa hukuna sehem hatujaenda lkn hatusikilizwi cha ajabu mpaka tra wanamkingia kifua kwasababu nyumba zake nyingi kuna branch za benk na juu kafanya magodown wkt sheria hairusuu kuweka godonwn ktk ya mji
Unaulizwa vingine unajibu vingine ndo mana mmenyanganywa
 
Back
Top Bottom