Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

Duuh Bilion moja mkuu hata akisema achanganye na familia yetu hailipiki hiyo Mkuu...Billioni kama B sio milioni tutauza hizi IST zote hadi masofa na haifiki hata nusu ndio anachukua riba yake kwanza..
Sasa familia walikopaje kwa jamaa wakijua uwezo kulipa deni hawawezi
 

Kwamba Wachagga wanawazidi akili hao watu wengine au chuki tuu!
Mimi naona mtu Kama ni mjinga Acha apasuke tuu
 
Tatizo wengi management ya pesa Ni Changamoto,

Na wengi ukopa pesa za riba kupeleka kusolve kwenye matatizo, hazizalishi.

Ukifika wkt wa rejesho ukifika hujui hate uanzie wapi na pesa ishakata
 
Wachaga wamekuwa wachawi sana sana
 
hii ishu ya huyu jamaa kutapeli watu magorofa niliiiona hapo nyamwezi tena zilikuja fifenda 3 kumsaidia jamaa kuzuia fujo hapo zilipaki siku nzima jiulize , naskia huwa anakopesha watu ukishindwa kulipa anakuja kubeba mali zako kibabe
Hakuna ubabe hapo kwani huwa anawafuata majumbani kwao kuwataka awakopeshe au wao ndio humfuata kuomba mikopo? Hata mabenki yakikopesha ukishindwa kulipa dhamana hupigwa mnada kulipia deni nayo pia hutumia ubabe? Dawa ya deni kulipa hamna namna nyingine.
 
[emoji1787][emoji23][emoji1787] imeisha iyo jombii.
Ulalule
 
sheria ya mabenk inataka shareholders wawe mchanganyiko lkn wachagga wameanzisha bank kama kikao cha ukoo nenda maendeleo bank ya lutheran mashareholders ni asilimia tisini wamachame hii sio fair kabisa
Sheria no. Ngapi hio tuisome Kwny act?
 
Hahah mkuu hii reply yako nimeihifadhi,hao jamaa unawajua very well inaonekana.
 
wewe huwajui wakibosho wewe kwanza wanavyama vyeje nguvu sana vikao vya votina ni hatari ndio maana kule manyara vipigwa ban na mnyeti magufuli alikuwa sahihi

Siwajui watu ninaoishi nao kila siku Mkuu.
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Hao ni mabepari wa kiwango cha juu kabisa.
We we ukileta uswahili Swahili wako WA kukopa watu alafu uanze Ile michezo yenu ya singeli ya kuzungusha kiuno na matako unafikiri wanahuo muda wa kuangalia kiuno chako.
Mara kesho nitakupa, mara mwisho wa mwezi huu, hizo singeli kuna watu hawazipendi ndio maana dawa ni kuwapiga katafunua๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ moja matata mtapiga yowe na KELELE lakini ndio imeisha hiyo.

Mngeenda kukopa Benki ili muwachezee hao benki singeli yenu


Kimsingi wamefanya vizuri.
Ni Kama mkataba wa chifu mangungo wa msovero na Mtu mbadi Carl Peter.

Sasa hapo ninyi ndio mmegeuka chifu mangungo๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Pole Sana Mkuu.
Ila Mkifuatilia bila hasira Kama unazo zionyesha hapa mnaweza kupata sehemu yenu.
Lakini hii hasira zako zinatakiwa upigwe tukio jingine la kuchukuliwa Ghorofa jingine ili utulize wenge๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Unachukia Wachaga kwa kisa Mushi.
Wakati kuna Wachaga masikini mpaka wanatia huruma ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Punguza jazba Sheikhe
 
Hawa jamaa walichukua hela benk wameshindwa kurudisha mkopo benk imeuza nyumba yao kwa mnada. Akina mushi wakainunua hasemi ukweli. Na aliyechukua mkopo ni msimamiz wa mirathi bingwa so hiz stor zote haziwez kuwasaidia. Ooh wachagga wez cjui nini we unafikir itabadili ukweli. Umekuja huku maana unajua ukienda mahakaman huna msaada.ndio maana wenye akili zao wamekuambia leta mkataba unabaki kuruka ruka leta usaidiwe.
 
Itakuwa yaleyale ya akina Alex Masawe na Pedeshe (PDG) Ndama.

Unakopa pesa kwao halafu dhamana inakuwa nyumba mnawekeana na deadline,muda wa kulipa ukifika wanakukwepa ili muda upite wachukue nyumba kwa bei ya kashata.
Hiyo mbona rahisi tu kuukwepa huo utapeli, kama dead line ya kulipa inakaribia pesa ya kulipa unayo na anakukwepa unaenda polisi au mahakamani na vielelezo vyote then unarudi nyumbani huku unapiga mluzi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ