Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

Duuh Bilion moja mkuu hata akisema achanganye na familia yetu hailipiki hiyo Mkuu...Billioni kama B sio milioni tutauza hizi IST zote hadi masofa na haifiki hata nusu ndio anachukua riba yake kwanza..
Sasa familia walikopaje kwa jamaa wakijua uwezo kulipa deni hawawezi
 
Hao wachaga ni washenzi na matapeli sana walishamtapeli mzee wa kizaramo nyumba hapo mtaa wa aggrey, mzee alisainishwa mkataba mwaka 2005 kuwa mchaga ataichukia nyumba kujenga fremu za maduka na mzee atakuwa akilopwa shilingi milioni moja kila mwaka! Kwa muda wa miaka 10, ila mzee.alipokuwa na shida alikuwa akimfata mchaga anampa pesa huku anamuandika kwenye daftari lake ,mwisho mzee anakuja kuambiwa kuwa kashapewa milioni 56. Mchaga akarudi na mkataba mwingine kumwambia mzee kuwa anataka kuibomoa nyumba ajenge ghorofa ila atampa floor mbili na maduka mawili chini ila cha ajabu baada ya kumaliza ujenzi hakuna chochote ambacho mzee aliambulia, sasa hivi mzee kashafariki na mchaga amejimilikisha jumla cuz mzee alimkabidhi hati ya ntumba kama dhamana kila alipokuwa na shida ya pesa. Wanawe wamejaribu kufuatilia lakini wapi wanaishia kuzungushwa tu. Mzee mwenyewe alisainishwa mkataba wa kutia sahihi ya dole gumba maana alikuwa hajui kuandika

Kwamba Wachagga wanawazidi akili hao watu wengine au chuki tuu!
Mimi naona mtu Kama ni mjinga Acha apasuke tuu
 
Kwa mlio tanzania ogopeni sana kukopa kwa wachaga na wakinga, hao watu hawafai hata kidogo. Pesa zao huwa ni za kichawi akikupa hata laki basi jua utashindwa tu kuirudisha na matokeo yake anachukua mali yenye thamani kubwa uliyoiweka rehani, kuna jamaa alikopa kwa mkinga milioni 2 kwa bondi ya hati ya gari aina ya noah yenye thamani ya milioni 14 miaka hiyo, ila cha ajabu jamaa aliitelekeza gari mpk ndugu zake walipoingilia kati kwenda kuikomboa , jamaa alipigwa kipapai aisahau kabisa gari yake
Tatizo wengi management ya pesa Ni Changamoto,

Na wengi ukopa pesa za riba kupeleka kusolve kwenye matatizo, hazizalishi.

Ukifika wkt wa rejesho ukifika hujui hate uanzie wapi na pesa ishakata
 
Harafu hizo hela hawatoi muda wowote wanatoa sana kuanzia jioni na usiku huku watoaji wakiwa na wenge la hatari...jamaangu ashawahi kopa hizo hela alipokuja kunipa story na hela hajazitumia nikamwambia mrudishie hizo hela daah kila akipigiwa simu hapokei maana alianza kwa kumwambia amepata hela anataka azirudishe zile kwanza akamwambia hata siku mbili alipe sijui na riba ya mwezi waliendeshana ila kwa muda kidogo mpaka kufikia makubaliano ya kupokea ile hela yake...yeye anasema kaiweke bank mlipaji anagoma mbona wewe ulikataa ishu ya bank yaani ndio akaja kuamini mambo ya watu kutumia ushirikina kwenye hizo hela gari yake ilikua inapotea..
Wachaga wamekuwa wachawi sana sana
 
hii ishu ya huyu jamaa kutapeli watu magorofa niliiiona hapo nyamwezi tena zilikuja fifenda 3 kumsaidia jamaa kuzuia fujo hapo zilipaki siku nzima jiulize , naskia huwa anakopesha watu ukishindwa kulipa anakuja kubeba mali zako kibabe
Hakuna ubabe hapo kwani huwa anawafuata majumbani kwao kuwataka awakopeshe au wao ndio humfuata kuomba mikopo? Hata mabenki yakikopesha ukishindwa kulipa dhamana hupigwa mnada kulipia deni nayo pia hutumia ubabe? Dawa ya deni kulipa hamna namna nyingine.
 
alikuwepo kuringe, morio na macha ndio wachagga wamenunua nyumba nyingi kariakoo na kujengesha kwa mikataba ya kitapeli wazair simba wa viwanda na biashara katuita wazawa k/koo diamond jublee kututaka tusiuze nyumba zetu lkn ndugu zangu wazaromo hawakusikia sasa kuna mitaa inaitwa kibosho kariakoo
[emoji1787][emoji23][emoji1787] imeisha iyo jombii.
Ulalule
 
sheria ya mabenk inataka shareholders wawe mchanganyiko lkn wachagga wameanzisha bank kama kikao cha ukoo nenda maendeleo bank ya lutheran mashareholders ni asilimia tisini wamachame hii sio fair kabisa
Sheria no. Ngapi hio tuisome Kwny act?
 
Pole LDA company...and Associate....
..Mna Bahati sana kukutana na Primi..angalau ana utu
..Mngekutana na Tumbo (najua unajua naongea nn) mngejuta
..Mna bahati pia Macha (Hans) amefilisika
..uombe MUNGU sana na kuringe (Masai) kahamia moshi ila kanunua corner bar na unaiona ilivyo...
Ushukuru Mzee Asenga MUNGU Alimchukua (wa King Palace)
Na Ole wenu Mzee Kacheli wa Mti Mmoja angekuwepo

Wewe na wenzio hamuwajui wakibosho....hawa kina primi na kina Kiria ni kizazi cha kistaarabu mno...

Ungekutana na kina mzee Kidumbuyo mallya ungejinyonga...

Hawa kina Beda kileo wanawachekea mnakaa kwa uhuru...

LDA... wewe na mzee wako mngekua mmetangulia mbele za haki...nenda muulize gharib na kaka yake said watakueleza huyo Alex Massawe na msofe Hapo kariakoo walinyanyua mkono...bro...

Unawajua G7? Je unawajua KuDa?

Je ukikutana na kina mama wakina sinyaa wa vipodozi we si utawehuka...

Makoi wa mwika je...wanalipa hela ya clearing na tax 2b kama wanacheza...

Bro hiyo ni premier league....

Lala upumzike mpeni primi 1.7 b mpewe mali yenu,kuna mfipa mmoja pale karibu na city style sinza alirudisha hela akarudishiwa ghorofa lake bro...primi ana nyumba hapa dar hazipungui 250 pale mwenge ghorofa ni lake mikocheni ana ghorofa kama nane....

Bado mna bahati sana...pambaneni nyumba za benki hazina lawama benki zinawaita wenyewe..sijui kwann hakwenda na Tumbo swahiba wake...mngenyooka...pole sana mkuu
Hahah mkuu hii reply yako nimeihifadhi,hao jamaa unawajua very well inaonekana.
 
wewe huwajui wakibosho wewe kwanza wanavyama vyeje nguvu sana vikao vya votina ni hatari ndio maana kule manyara vipigwa ban na mnyeti magufuli alikuwa sahihi

Siwajui watu ninaoishi nao kila siku Mkuu.
😀😀😀

Hao ni mabepari wa kiwango cha juu kabisa.
We we ukileta uswahili Swahili wako WA kukopa watu alafu uanze Ile michezo yenu ya singeli ya kuzungusha kiuno na matako unafikiri wanahuo muda wa kuangalia kiuno chako.
Mara kesho nitakupa, mara mwisho wa mwezi huu, hizo singeli kuna watu hawazipendi ndio maana dawa ni kuwapiga katafunua😂😂 moja matata mtapiga yowe na KELELE lakini ndio imeisha hiyo.

Mngeenda kukopa Benki ili muwachezee hao benki singeli yenu


Kimsingi wamefanya vizuri.
Ni Kama mkataba wa chifu mangungo wa msovero na Mtu mbadi Carl Peter.

Sasa hapo ninyi ndio mmegeuka chifu mangungo😀😀

Pole Sana Mkuu.
Ila Mkifuatilia bila hasira Kama unazo zionyesha hapa mnaweza kupata sehemu yenu.
Lakini hii hasira zako zinatakiwa upigwe tukio jingine la kuchukuliwa Ghorofa jingine ili utulize wenge😀😀

Unachukia Wachaga kwa kisa Mushi.
Wakati kuna Wachaga masikini mpaka wanatia huruma 😂😂

Punguza jazba Sheikhe
 
Hawa jamaa walichukua hela benk wameshindwa kurudisha mkopo benk imeuza nyumba yao kwa mnada. Akina mushi wakainunua hasemi ukweli. Na aliyechukua mkopo ni msimamiz wa mirathi bingwa so hiz stor zote haziwez kuwasaidia. Ooh wachagga wez cjui nini we unafikir itabadili ukweli. Umekuja huku maana unajua ukienda mahakaman huna msaada.ndio maana wenye akili zao wamekuambia leta mkataba unabaki kuruka ruka leta usaidiwe.
 
Itakuwa yaleyale ya akina Alex Masawe na Pedeshe (PDG) Ndama.

Unakopa pesa kwao halafu dhamana inakuwa nyumba mnawekeana na deadline,muda wa kulipa ukifika wanakukwepa ili muda upite wachukue nyumba kwa bei ya kashata.
Hiyo mbona rahisi tu kuukwepa huo utapeli, kama dead line ya kulipa inakaribia pesa ya kulipa unayo na anakukwepa unaenda polisi au mahakamani na vielelezo vyote then unarudi nyumbani huku unapiga mluzi tu.
 
Back
Top Bottom