Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

Mbona tumeambiwa wachagga hawana hela wameajiriwa tra na serikalini?

Kwa nchi hii ukitoa wageni bado hakuna kabila linalowasogelea hao watu.
Hao wakinga wanaosakiziwa kimsingi bado Sana.

Hao jamaa kizazi Chao cha 80 Kurudi nyuma walikuwa makini Sana kwenye ishu ya kutafuta pesa.
Ila hawa wa 90 kuja mbele naona Kama wamezubaa kidogo
 
Ni issue ya IQ au janja janja tu
 

Kumbe ndio maana akaleta hoja ya shareholders wa baadhi ya mabenki ni wachagga,
 
Tatizo wengi management ya pesa Ni Changamoto,

Na wengi ukopa pesa za riba kupeleka kusolve kwenye matatizo, hazizalishi.

Ukifika wkt wa rejesho ukifika hujui hate uanzie wapi na pesa ishakata
Hili nakubali kuwa watu wengi hukopa ili kununua liabilities badala assets ambazo zitawaingizia pesa. Kopa pesa ili uendeleze biashara inayoendelea ili faida itakayopatikana ikusaidie kulipa deni.
 
Wakopaji wanasumbua sana.
Mie mwenyewe nakopesha.
Lakini cha moto nakiona.
Ninapata ushauri kutoka sehemu mbali mbali niwe nawaroga.
Nadhani wao wenyewe wakopaji ndo wanasababisha mpaka warogwe.
 
Wakopaji wanasumbua sana.
Mie mwenyewe nakopesha.
Lakini cha moto nakiona.
Ninapata ushauri kutoka sehemu mbali mbali niwe nawaroga.
Nadhani wao wenyewe wakopaji ndo wanasababisha mpaka warogwe.
 
Aseeehh..dunia hiii balaa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hivi hizi Mali wakifa wanaenda nazo au?!!!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…