Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

huwez kuchukua nyuma yenye zaid ya dhamani billion 14 kwa billion moja huyu jamaa kapewa stop order na mahakama lkn kadharau na wanaolalamika ni wengi kutapeliwa na huyu jamaa
Kwa hiyo unatakiwa uchukue jengo la thamni gani?Kwa nini uliliweka rehani kama hutaki lichukuliwe?Yaani wewe ufanye Ujinga halafu uende mahakamani kuweka stop order.Dawa ya deni ni kulipa na ukishindwa kulipa kile ulichoweka bond kinaenda.Binafsi nafikiri kwamba bado watu wanaolalamika wanataka huruma ya umma wakati walipoenda kukopa waliangusha wino na kulia na kubembeleza.
 
Primo Mushy ni Mfanya biashara anaetumia akili na ushauri mzuri wa kitaalamu ikiwemo wanasheria. Hawezi fanya ujinga na ndio maana hata kichaa wa kisukuma mwendazake hakumgusa. Acha uchawi mleta mada. Akili maskini huzaa umaskini.
 
Ukiweza kuishi Kariakoo na hela zao za Moto unaishi popote hapo wale wafanyabiashara wadogo wengi wamepotea na nyumba zao wale wakubwa wamebaki kuwa matajiri hapo walikuwepo wanaopiga hesabu kwenye calculator wakipewa hela wanakimbia wakachukue kipodozi,Chocolate,Pombe au Apple SA ni biashara ya haraka sana ikifika sokoni tena walikua wanapewa hela za kupakia mzigo wa 40ft pamoja na hela ys kulipia kodi leo hawapo wale jamaa wamewapoteza wengine biashara ya kipodozi cha Drc Kongo wakiona mteja anaweza kulipa riba na hela wao ndio wanachomesha Polisi au TRA ili ukamatwe na hiyo mali watauziwa wao kwa bei pungufu maana mtu kakopa 300m anampa taarifa zote mdau akiamini ni ndugu yake kumbe Nyoka tuu..hapo Kkoo hata utake usd 2m usiku haraka unaipata ila jua hautaweza kuirudisha mpaka unaenda Motoni...
 
huwez kuchukua nyuma yenye zaid ya dhamani billion 14 kwa billion moja huyu jamaa kapewa stop order na mahakama lkn kadharau na wanaolalamika ni wengi kutapeliwa na huyu jamaa
Ndio zao watu km hawa hawana tofauti na wauaji tena huyo mmoja ni sample tu wapo wengi wanajipatia mali kwa dhuluma na unyanyasaji
 
mahakama imeweka stop order lkn haheshimu maamuzi ya mahakama mkuu wa mkoa pamoja na waziri wote hawana msaada jamaa anaonga sana
Hio sio poa RUSHWA mbaya sana hauwezi kupata haki

Jaji atahongwa
Hakimu atahongwa
Polisi atahongwa
Mwanasheria atahongwa
Mkuu wa mkoa nae ?
Waziri wa wizara husika nae ?

Sawa umeeleweka
 
Kuna mikopo ya wazee wa Nigeria y maelekezo! mikopo ya kichawi, ukikopa hailipiki! kuna watu hasa wazee ukikodi kitu chake huwezi kuwin na kupata cha kwako ila pesa ya kukodi hukosi kila muda ukifika !!
hii dunia mbaya sana!!
 
Hao wachaga ni washenzi na matapeli sana walishamtapeli mzee wa kizaramo nyumba hapo mtaa wa aggrey, mzee alisainishwa mkataba mwaka 2005 kuwa mchaga ataichukia nyumba kujenga fremu za maduka na mzee atakuwa akilopwa shilingi milioni moja kila mwaka! Kwa muda wa miaka 10, ila mzee.alipokuwa na shida alikuwa akimfata mchaga anampa pesa huku anamuandika kwenye daftari lake ,mwisho mzee anakuja kuambiwa kuwa kashapewa milioni 56. Mchaga akarudi na mkataba mwingine kumwambia mzee kuwa anataka kuibomoa nyumba ajenge ghorofa ila atampa floor mbili na maduka mawili chini ila cha ajabu baada ya kumaliza ujenzi hakuna chochote ambacho mzee aliambulia, sasa hivi mzee kashafariki na mchaga amejimilikisha jumla cuz mzee alimkabidhi hati ya ntumba kama dhamana kila alipokuwa na shida ya pesa. Wanawe wamejaribu kufuatilia lakini wapi wanaishia kuzungushwa tu. Mzee mwenyewe alisainishwa mkataba wa kutia sahihi ya dole gumba maana alikuwa hajui kuandika
Wachagga siku zote wamefanikiwa kwa WIZI, DHULMA, UTAPELI, UNDUGULISATION ( Vinafasi vya. Umma ) na Biashara za MAGENDO.
 
alikuwepo jamaa anaitwa kuringe alipoingia magufuli alikimbia kwenda moshi ndio mwenye red stones club huyu p mushi wkt wa magufuli alikuwa kimya alipokufa anapandisha n=magorofa kama matatu kwa pamoja jiwe alikuwa yuko sahihi kuwachukia hawa jamaa
Wewe chuki yako ni wachaga
 
Siku zetu za kuishi ni miaka 70 ikizidi 80,mtu unaiba manyumba ya watu,kana kwamba utaishi nayo milele,mbaya zaidi hata ukija yaacha Kwa laana iliyopo huja kupotea tu Kwa jinsi yoyote,kizazi chako hugeuka cha walevi,Malaya na mabaya yote mwishowe Mali na nyie wote mnaangamia and the all wealth turn O. This is within 60 coming years.
 
Wachagga siku zote wamefanikiwa kwa WIZI, DHULMA, UTAPELI, UNDUGULISATION ( Vinafasi vya. Umma ) na Biashara za MAGENDO.
Ukishaingiza mawazo kama haya akilini mwako ndio basi tena....utakuwa umeumaliza mwendo!

Jambo pekee la kumwomba Mungu ni akusaidie ufe na hiyo sumu mwenyewe usije ukaiacha kwa kizazi chako
 
Pole LDA company...and Associate....
..Mna Bahati sana kukutana na Primi..angalau ana utu
..Mngekutana na Tumbo (najua unajua naongea nn) mngejuta
..Mna bahati pia Macha (Hans) amefilisika
..uombe MUNGU sana na kuringe (Masai) kahamia moshi ila kanunua corner bar na unaiona ilivyo...
Ushukuru Mzee Asenga MUNGU Alimchukua (wa King Palace)
Na Ole wenu Mzee Kacheli wa Mti Mmoja angekuwepo

Wewe na wenzio hamuwajui wakibosho....hawa kina primi na kina Kiria ni kizazi cha kistaarabu mno...

Ungekutana na kina mzee Kidumbuyo mallya ungejinyonga...

Hawa kina Beda kileo wanawachekea mnakaa kwa uhuru...

LDA... wewe na mzee wako mngekua mmetangulia mbele za haki...nenda muulize gharib na kaka yake said watakueleza huyo Alex Massawe na msofe Hapo kariakoo walinyanyua mkono...bro...

Unawajua G7? Je unawajua KuDa?

Je ukikutana na kina mama wakina sinyaa wa vipodozi we si utawehuka...

Makoi wa mwika je...wanalipa hela ya clearing na tax 2b kama wanacheza...

Bro hiyo ni premier league....

Lala upumzike mpeni primi 1.7 b mpewe mali yenu,kuna mfipa mmoja pale karibu na city style sinza alirudisha hela akarudishiwa ghorofa lake bro...primi ana nyumba hapa dar hazipungui 250 pale mwenge ghorofa ni lake mikocheni ana ghorofa kama nane....

Bado mna bahati sana...pambaneni nyumba za benki hazina lawama benki zinawaita wenyewe..sijui kwann hakwenda na Tumbo swahiba wake...mngenyooka...pole sana mkuu
Macha kafilisika?

Yaonesha waijua KKOO haswaa
 
Ukishaingiza mawazo kama haya akilini mwako ndio basi tena....utakuwa umeumaliza mwendo!

Jambo pekee la kumwomba Mungu ni akusaidie ufe na hiyo sumu mwenyewe usije ukaiacha kwa kizazi chako
Umeshalewa Kitimoto asubuhi asubuhi hii
 
Company inaenda kukopa kwa Mushi fedha si zipo bank na wanabembeleza hizo hela tunaita za moto kwa jinsi riba yake ilivyo ni ngumu sana kuilipa na hao jamaa wanakopesha Cash hawaweki hela bank huku mganga wake ashaifanyia kazi yeye anashukuru ninyi kushindwa kumlipa ili achukue mali yenu...
Bank mchakato mrefusana hadi pesa iive
 
Back
Top Bottom